Fedha za RUZUKU ya CHADEMA 2010 - 2015

Bado Niponipo

JF-Expert Member
Aug 15, 2008
680
168
Wakuu heshima mbele,

Ningependa kujua hesabu za fedha za ruzuku za vyama vya siasa nchini inakuwa-calculated vipi, ni viti vya ubunge plus kura za urais au ni nini huwa wanaangalia, 2010-2015 CHADEMA wameongeza wabunge by over 500% je mahesabu ya fedha za ruzukuy yatakuwa yamekaaje hapa.

Wasalaam

BNN
 
wakuu heshima mbele,

ningependa kujua hesabu za fedha za ruzuku za vyama vya siasa nchini inakuwa-calculated vipi, ni viti vya ubunge plus kura za urais au ni nini huwa wanaangalia, 2010-2015 chadema wameongeza wabunge by over 500% je mahesabu ya fedha za ruzukuy yatakuwa yamekaaje hapa.

Wasalaam

!

Bnn
si uende kwenye vikao vya chama. Hapa unatafuta umbea na upotoshaji uu!
 
Ninachohitaji ni formula, kama ilivyo formula ya viti maalum, SINA NIA MBAYA, na hapa sizungumzii Chadema peke yake, Chadema ni kama mfano tuu, nahitaji mwenye kujua formula anijuze.
 
Mkuu kwa maana hiyo CUF zanzibar inapata sawa na CCM kwa kuwa wamepishana 1% ya votes.

Na je hesabu yake ikoje?.

CUF ndo washindi au umesahau mkuu? Anyway, kama wanapishana 1% why should it be the same share? Inabidi tumuulize Tendwa ndo mwenye taarifa sahihi mkuu. Maana ndo yeye alikuwa anakomaa na matumizi ya vyama kwenye kampeni.
 
Wakuu heshima mbele,

Ningependa kujua hesabu za fedha za ruzuku za vyama vya siasa nchini inakuwa-calculated vipi, ni viti vya ubunge plus kura za urais au ni nini huwa wanaangalia, 2010-2015 CHADEMA wameongeza wabunge by over 500% je mahesabu ya fedha za ruzukuy yatakuwa yamekaaje hapa.

Wasalaam

BNN

Ukishajua itakusaidia nini? kaulize na CCM pia kama unafanya research
 
Wakuu heshima mbele,

Ningependa kujua hesabu za fedha za ruzuku za vyama vya siasa nchini inakuwa-calculated vipi, ni viti vya ubunge plus kura za urais au ni nini huwa wanaangalia, 2010-2015 CHADEMA wameongeza wabunge by over 500% je mahesabu ya fedha za ruzukuy yatakuwa yamekaaje hapa.

Wasalaam

BNN

Hapa tunahitaji majibu au taarifa sio maswali. Vinginevyo nenda sehemu ya kuelimishana sio mahala pake hapa.
 
CUF ndo washindi au umesahau mkuu? Anyway, kama wanapishana 1% why should it be the same share? Inabidi tumuulize Tendwa ndo mwenye taarifa sahihi mkuu. Maana ndo yeye alikuwa anakomaa na matumizi ya vyama kwenye kampeni.

Kwa hiyo fungu la ruzuku linatoka kwa tendwa, sasa mbona kuna member amedai huwa wanaangalia idadi ya kura za urais, lakini hakuweka formula?..
 
Mkuu NipoNipo,
Nina shaka kama utapata jibu muafaka hapa kwa swali kama hilo. Ni mapema mno kuuliza swali la aina hiyo, aidha watu wataona kama unatafuta fedha watakazokamata Chadema au chama chochote(ambapo haijulikani itakusaidia nini).
Taarifa kama hizo zitakuja julikana taratibu kwenye mitandao, maana bunge linapoanza lazima mambo ya Logistics yawekwe mbele!
 
Wakuu heshima mbele,

Ningependa kujua hesabu za fedha za ruzuku za vyama vya siasa nchini inakuwa-calculated vipi, ni viti vya ubunge plus kura za urais au ni nini huwa wanaangalia, 2010-2015 CHADEMA wameongeza wabunge by over 500% je mahesabu ya fedha za ruzukuy yatakuwa yamekaaje hapa.

Wasalaam

BNN

Du, hii haina tofauti na umbea, nakushauri achana nayo tu mkubwa
 
Wakuu heshima mbele,

Ningependa kujua hesabu za fedha za ruzuku za vyama vya siasa nchini inakuwa-calculated vipi, ni viti vya ubunge plus kura za urais au ni nini huwa wanaangalia, 2010-2015 CHADEMA wameongeza wabunge by over 500% je mahesabu ya fedha za ruzukuy yatakuwa yamekaaje hapa.

Wasalaam

BNN

Vipi unaomba kazi CHADEMA ndio maana unataka kujua uwezo wao wa kukulipa mshahara au unataka kujua mapato ya CHADEMA kwa sababu gani? Kwanini huulizi CUF, NCCR, TLP, UDP au CCM?
 
Kama hujui formula, naomba ubaki msomaji tuu,

Hata ningeuliza CUF kuna wengine wangesema mbona umeuliza CUF na si CCM.
 
Mkuu NipoNipo,
Nina shaka kama utapata jibu muafaka hapa kwa swali kama hilo. Ni mapema mno kuuliza swali la aina hiyo, aidha watu wataona kama unatafuta fedha watakazokamata Chadema au chama chochote(ambapo haijulikani itakusaidia nini).
Taarifa kama hizo zitakuja julikana taratibu kwenye mitandao, maana bunge linapoanza lazima mambo ya Logistics yawekwe mbele!

PakaJimmy asante mkuu.

Kuna member humu wameanza kuongea mbovu mbovu mimi nilichokuwa nahitaji kujua ni je hesabu huwa zinapigwa vipi, kwa kuwa miaka ya nyuma viti vya ubunge na kura za urais zilikuwa chache na si kama mwaka huu, sasa watu wako interested kujua baadhi ya vitu hili likiwa mojawapo, Hapo nyuma nilisha wahi kuuliza hesabu za viti maalumu na kuna member walitoa formula yake na imekuwa sawasawa na NEC.
 
Back
Top Bottom