Bado Niponipo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2008
- 680
- 168
Wakuu heshima mbele,
Ningependa kujua hesabu za fedha za ruzuku za vyama vya siasa nchini inakuwa-calculated vipi, ni viti vya ubunge plus kura za urais au ni nini huwa wanaangalia, 2010-2015 CHADEMA wameongeza wabunge by over 500% je mahesabu ya fedha za ruzukuy yatakuwa yamekaaje hapa.
Wasalaam
BNN