Fedha t tuw aelekeze kupata internet bureeee........kwa modem yoyote

mshumbusi

JF-Expert Member
Oct 24, 2011
457
231
Oya mimi ni mya pataila msiofu ni kada mzuri sana nazani tutakua tuna shoot pamoja jana kwenye forum niliona jamaa wa uliza kuusu internet ya bure sasa nynyi kama najua leo pleni sana ila kw sent kidogo huta elekezwa wizi wote had modem za ttcl yani tuna piga tu
 
duuu net za bure zipo nyingi balaa!!!!!!!!!!!nowdays safiiiii!!!![JFMP3][/JFMP3]
 
Alaaa!Tumeibiwa sana na hii mitandao,zamu yetu kuiba maji ya kunawa mikono baharini!
 
mkuu mleta mada kama vile sijakuelewa kidogo hebu fafanua kidogo wadau wajukwaa tukupate vizuri!
 
duh alilieleta mada muhindi nin? Mimi apana elewa veve bana! lol jus jokin, mkuu ningependa kujua zaidi apa ni hacking gani modem au isp? Na ni isp gani and how much?
 
Wakuu nyie mmemwelewa jamaa, mimi naona kiarabu.
Asijekuwa ni janjaweed, mbona kasepa kimya kimya!
 
Hili jukwaa la teknolojia na sayansi wakuu. Hata kama ni kutangaza busness na kutafuat wateja basi mwageni na detail za kitekniki japo kidogo.
 
yah kwanza mode walitakiwa wadelete post za business, hapa mtu unatakiwa upost how ulichakachua wenzio wajifunze na sio sehemu ya kupata hela
 
Back
Top Bottom