February 17, 2018, ama zetu ama zao. Hatutakubali kuibiwa Kura-

Mkwawa

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
1,334
1,464
[HASHTAG]#Habari24UPDATES[/HASHTAG], [HASHTAG]#KIVUMBIKINONDONI2018[/HASHTAG]:

"Yaani nyinyi polisi muachie CCM dakika tano tu wacheze ngoma siku ya tarehe 17 hawa jamaa ni weupe, na polisi ndugu zangu safari hii mtuandalie magereza mtatufunga wote haki ya Mungu safari hii haibiwi mtu kura hiyo nawaambia mtatuua. Kama tumeweza kupona risasi 38 sasa tupo tayari kwa lolote, haiwezekani wanaume na wanawake wa mageuzi tukafanywa sisi kama ni wake za mtu haiwezekani. Wabunge wetu wanafungwa, wanafukuzwa Bungeni, madiwani wanalazimishwa kuhama chama, kila siku viongozi wa upinzani ni polisi na mahakamani"

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, kampeni za Uchaguzi, Magomeni,Kinondoni leo.
 
Siku hiyo kutakuwa na zoezi la kupanda miti na jeshi litasambaza miche Kinondoni yote
 
[HASHTAG]#Habari24UPDATES[/HASHTAG], [HASHTAG]#KIVUMBIKINONDONI2018[/HASHTAG]:

"Yaani nyinyi polisi muachie CCM dakika tano tu wacheze ngoma siku ya tarehe 17 hawa jamaa ni weupe, na polisi ndugu zangu safari hii mtuandalie magereza mtatufunga wote haki ya Mungu safari hii haibiwi mtu kura hiyo nawaambia mtatuua. Kama tumeweza kupona risasi 38 sasa tupo tayari kwa lolote, haiwezekani wanaume na wanawake wa mageuzi tukafanywa sisi kama ni wake za mtu haiwezekani. Wabunge wetu wanafungwa, wanafukuzwa Bungeni, madiwani wanalazimishwa kuhama chama, kila siku viongozi wa upinzani ni polisi na mahakamani"

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, kampeni za Uchaguzi, Magomeni,Kinondoni leo.
Kafungwe mwenyewe tuu mkuu nani ana muda wa kwenda kuchezea virungu kwa sababu ya maslahi ya watu mnatuona watanzania hatuna akili ata ya kutawaza tukitoka msalani. mlipiga majungu kelele fisadi fisadi mwisho wa siku akawapa hao wanaokudanganya uje kupiga kelele humu senti za kutosha ili apate iyo nafasi ya kugombea .mkamchukua akagombea kuichukua nchi akaangukia pua juzi kaenda kujipendekeza pale magogoni.

Sijui nani alietuponza watanzania
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom