#COVID19 FDA ya Marekani yaidhinisha dozi ya tatu ya chanjo ama booster vaccine kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19

Analogous to a computer ant virus, uh ! Usually, the croocked computer software experts create the viruses, which are more highly contiguous to a computer application than the previous virus versions. Consequently, we have to buy a latest version of an ant virus software!!!

You see! The computer is human being, the computer viruses are ever dangerously changing covid variants; the ant viruses are vaccines-being supported by the coming same vaccine shorts, and the vaccine boosters are like a small patch software applied to fix the bugs in the application.😀😀😀

If a contiguous computer virus attacks a computer application while a computer user can not afford to buy a latest version of ant virus, then the user can decide to uninstall the infested window application and install a new window free of the virus. This is becoming difficult to tie it to the current the human being and a covid virus ! Will it be possible to "uninstall" infested lungs, and other parts of respiratory system, as well as the litres of bloods from human being? Who knows, maybe yes or no! This is why the 'computer guru' is denied an exit from this convictional saga!!
Biashara ya antivirus ni sawa na ile ya speed radar detectors. Kampuni zinazotengeneza radar guns za polisi ndo zile zile zinazotengeneza radar detectors. Kila baada ya muda fulani watengenezaji wanaamua wale upande upi kwa kuwatengenezea wateja wa upande huo tekinolojia mpya. Halafu cycle ina reverse kwa upande mwingine.
In a nutshell, through the 'nine eye perceptions' ( I reserve the tenth perception), maybe I am viewing an ultra-morden and vibrant human being slavery of its kind in the human history!
====

Naomba msaada wa kutafsiri bandiko hili kwa kiswahili ili wasioelewa lugha iliyotumika wajue kilichoandikwa. Natanguliza shukrani.

Hizi "chanjo" za corona zinaanza kuwa kama zile za flu zinazotolewa kila mwaka. Wale wanaochanja flu wanaumwa kila mwaka na ila wale wasiochanja huwa hawapati flu. Biashara za watu hizi jamani...
 
Hizi chanjo zina maswali mengi sana na hayajajibiwa kiufasaha.
Sote tunajua corona virus inaathiri sama watu wenye umri mkubwa pamoja nawenye pre existing conditions kama presha,kisukari,moyo, Asthma,uzito mkubwa n.k.
Sasa tulitegemea kwamba,kundi hiulo ndio lingekuwa targeted kwenye kupewa chanjo sababu ndio kundi hatarishi zaidi kuliko kundi la vijana i.e 12yrs to 40yrs,lakini badala yake wanalazimisha watu wote wachnajwe,yaani hata watoto kuanzia 12 years ambao covis fatal cases ni almost 0%,.Sioni haja ya kuchanja vijana na watoto,sababu kinga za miili yao bado ni imara sana na zimeonyesha resistance kwa ufasaha sana dhidi ya corona virus,lakini kwa sababu this all thing imeshaingiliwa na mabepari wa kutumia fursa ya kuuza chanjo,basi tunalazimishwa kuchanjwa watu wote ili wauze wapate faida.
yaani kila leo kuna variant mpya na watalazimisha kupata booster kwa kila variant akija.
watu wakisema kuna tatizo kwenye issue nzima ya huu ugonjwa,wanaitwa conspiracists,badala ya wataalamu kujibu maswali ya msingi wanaita watu ma conspiracists.
sipingi watu kupata chanjo ila nainachoping ni kulazimisha watu wote wachanjwe hata walio kwenye group ambalo ni low risk,hili ndio tatizo hasa.
na ukiangalia suala zima la chanjo wanaopigia kampeni wengi ni wanasiasa ambao 90% of them don't know a damn about medicine.
 
Biashara ya antivirus ni sawa na ile ya speed radar detectors. Kampuni zinazotengeneza radar guns za polisi ndo zile zile zinazotengeneza radar detectors. Kila baada ya muda fulani watengenezaji wanaamua wale upande upi kwa kuwatengenezea wateja wa upande huo tekinolojia mpya. Halafu cycle ina reverse kwa upande mwingine.


Hizi "chanjo" za corona zinaanza kuwa kama zile za flu zinazotolewa kila mwaka. Wale wanaochanja flu wanaumwa kila mwaka na ila wale wasiochanja huwa hawapati flu. Biashara za watu hizi jamani...
Mkuu,kuna tatizo kubwa kwenye hili suala zima la chanjo,Dr Anthony Fauci ukimskiliza kila wakati anakuja na kipya.
 
Back
Top Bottom