Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,887
Over the hills and far away
Over the hills and far away
Bado bilabila.Uko ngapi ngapi?
Daah kipa kafurahi kutoa kitu cha jamaa..Utafikiri kashinda kombeMessi kakosa penati. Dk ya 64 0-0
Maneno ya changudoa haya kama haufahamu copa del ley qualifications ni match mbili bado match moja inachezwa Camp Nou 25-01-18Asanteni Espanyol
Wamejileta chumbani kwenu mkawavua boxer kisha bila ajizi mkawakojolea kimoja cha afya!!!!
Anafahamu ila anajitoa ufahamu...Maneno ya changudoa haya kama haufahamu copa del ley qualifications ni match mbili bado match moja inachezwa Camp Nou 25-01-18
Halafu uje uongee maneno yako
Hatuongei na kahaba aliyegongwa nyuma bernarbeu na manyambiziAsanteni Espanyol
Wamejileta chumbani kwenu mkawavua boxer kisha bila ajizi mkawakojolea kimoja cha afya!!!!
Online streaming unatumia app ipi hiyo bro?Wazee nipo...na stream online
Nilitumia spotekOnline streaming unatumia app ipi hiyo bro?
Afadhali mkuu kumbe hii kitu inamarudiano tena? Mm nikajua tushaagaSometimes siku zisizokua na madhara ni muhimu kupoteza ili tujifunze
We come back Camp Nou tena kwa goli nyingi sana sio chini ya 5
Match ya jana kulikua na majaribio mengi....like Carlos Arena,AleixVidal,Carles Arena ,Iniesta out ,Suarez out etc etc
Me internet ilizingua nikalala
Bdo sana ile Celta alikufa 5 ile alhamis ni marudianoAfadhali mkuu kumbe hii kitu inamarudiano tena? Mm nikajua tushaaga
Hapo sawa asee marudiano tutafanya kitu kizito sanaBdo sana ile Celta alikufa 5 ile alhamis ni marudiano