FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

kuna chanzo kimoja cha habari kinasema barcelona wanampango wa kumuuza kwenda atletico madrid kama sehemu ya kumchikua griezman maana wanaanza kumuona mzigo kwa hizi injaries za mara kwa mara
Sijui nn sasa hiki!!!!.....ndo anaanza Kuzoea maisha eti injury.......
Sijui anarogwa mi hata sielewi....
Wampe muda dogo ana kipaji sana..
Akiendelea ndo wafanye maamuzi magumu...
 
4bf4db79cc58bf9079192d951664784c.jpg
 
Uzuri wa kocha ni pale anapotanguliwa kupigwa lakini baadae anageuza matokeo tena kwa wale wale wachezaji kwa kubadili spirit ya team. Valverde ana hii sifa. Match ya Sociedad wengi tulishakata tamaa. Kiufupi huyu kocha katulia hana papara. Lakini zaidi wachezaji wanamuelewa sana kiasi kwamba hawataki kumuangusha. Ni imani yangu atatuletea mafanikio makubwa sana.
 
kuna chanzo kimoja cha habari kinasema barcelona wanampango wa kumuuza kwenda atletico madrid kama sehemu ya kumchikua griezman maana wanaanza kumuona mzigo kwa hizi injaries za mara kwa mara
Bado ni mapema sana kulaumu juu ya Dembele. Injuries 2 sidhani kama zinatosha kuvunjika moyo. Uzuri ni kwamba injuries zimekuja wakati ambapo hata Dembele mwenyewe bado hana umuhimu sana kwenye team. Hata ukiangalia alipoumia mara ya kwanza hatujammiss sana. Waliopo wameendelea kuwasha moto. Hata safari hii moto utaendelea kuwashwa tu.
 
magazeti ya Spain yanadai kuondoka kwa Neymar Barca imekuwa blessing in disguise,flair ya Barca imepungua lakini wamekuwa ruthless-on current form na hitman Suarez back on the goal scoring mode-Barca would be crowned champs very early.In the early stages the defence carried the team-but alas now the strike force has warmed up to the task
 
Lineup yetu dhidi ya Espanyol

Barcelona XI: Cillessen; Sergi Roberto, Pique, Vermaelen, Digne; Busquets, Alena, Denis, Aleix Vidal, Paulinho, Messi

Subs: Ter Stegen, Semedo, Rakitic, Suárez, Rafinha, Jordi Alba, André Gomes
 
Tetesi
Barcelona wamekataa ofa ya pauni milioni 22.2 kutoka Inter Milan kwa raia wa Brazil mwenye umri wa miaka 24 Rafinha kwa sababu wanataka pauni milioni 35.5.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom