FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kuna kila dalili mwezi wa 3 tutakabidhiwa laliga letu halafu pia tunacheza match zote bila kufungwa mwaka huu kocha pamoja na mizuka yetu yote ila ni mtu brains sana ana strategies na yuko very flexible hata Dembele akishaelewa vizuri systems atakua anamtumia vizuri sana
Na huku left Jordi Alba na Coutinho anayekuja huyu pale kati ndo usiseme fireeee
 
Second half na dakika 15 za mwisho Barcelona hua wanatisha sana
Wazee naweka score board

Gap ni point 19 Red Giant alinirekebisha ila mimi naongeza moja iwe 20

Nafasi ya kwanza yaani mabingwa laliga
Acha wafu wazikane wenyewe na wenye kuangamia na waangamie. Na wale wanaopona walane wenyewe sisi tuendelee kupiga mvinyo. Mkuu mwekundu hiyo ni zekaria ngapi ? ;):). Karibu tuendelee kupiga mvinyo!. Hao jamaa wakipigwa na Valencia(na hawawezi kupona) tutawaacha point 22. Yule Guedes na mwenzake Rodrigo hawawezi kuwaacha.
 
Just amaizing....

King messi
0eb1cd13ad7d66c289af4b735d5e1cc0.jpg

80ee3f71d65babd8b200218b8b0040f9.jpg

7382c5c4dad13607e4cb1cb7b63472ed.jpg
Hili Goli la mwisho daah..haya tu.Kipa kaamua tu atulize mwili maana hamna namna ya kuzuia vitu kama hivi.Ukisema ujaribu season nzima unamaliza upo kitandani.LIONEL MESSI!!!!Kuna pasi flani ameipiga mpaka nikacheka kwa sauti kubwa saana.Wale Timu flani wakanimind sana...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom