Kuna jamaa ana channel you tube. Inaitwa Talk Barcelona hakuwahi kumkubali na bado hamkubali Paulinho kwa sababu za kuwa flop, ananyima madogo play time na sabb nyingine. Lakini day in day out Paulinho ana mprove wrong tu.paulinho kama vile mvinyo ambao umelala week nzima yani anazidi kuwa mtamu huyu jamaa ananishangaza sana
Kweli kabisa Barca ni midfielders na strikers hii defence ni bonus mambo yanatakiwa kati na mbelePaulinho yupo poa
Ila kiungo cha Barca bado hairidhishi uefa watapata shida sana ,ile dominance,ubunifu haupo kama hapo awali .busquet anajitahidi sana kupunguza na kuficha udhaifu
Bado naona tukiwa na Iniesta na busquet tunakuwa na kiungo bora kuliko timu nyingi sana UEFA. Tuombe tu Rakitic au Sergio wawe kwenye form basi.Paulinho yupo poa
Ila kiungo cha Barca bado hairidhishi uefa watapata shida sana ,ile dominance,ubunifu haupo kama hapo awali .busquet anajitahidi sana kupunguza na kuficha udhaifu
Me binafsi kama nilivyowahi kusema nyuma tatizo ni finishing na midfield lakini kwa uzoefu wangu jinsi tunavyocheza wingers (kushoto na kulia ) kumekufa hatuna kabisa wingerKweli kabisa Barca ni midfielders na strikers hii defence ni bonus mambo yanatakiwa kati na mbele
Ni kweli itakua mechi ngumu ila inabidi tujitahidi tushinde tuongeze gap la point.Valencia won 2-0 against Español kuweka pressure kwa Barça. Mechi ijayo ni Barça vs Valencia. Ushindi dhidi ya Valencia utakuwa ni record nyingine kwa Barça na kujiwekea mazingira mazuri ya kuchukua La Liga
Busquets atacheza beki kiungo paulinhoGerard Piqué amepokea kadi ya tano ya manjano dhidi ya Leganes, hii inamaanisha kuwa hatacheza mechi ya Barcelona inayofuata dhidi ya Valencia.
Hii haitakuwa rahisi kwni Valencia wanacheza vizuri sana kwenye uwanja wao wa nyumbani. Je! Valverde atamtumia Umtiti pembeni mwa Vermaelen?
Huyu huyu jamaa amekuwa moja ya makipa bora kabisa ulaya. Mi napendaga tu anavyopiga pasi. Kuna wachezaji wa ndani wa timu pinzani kwa baadhi ya timu atakuwa anawashinda idadi ya pasi.View attachment 633753
Ter stegen ame save mara 19 kati ya ma shoot 20 ambayo yalikua 100% magoli
Mimi hua napenda kumuita the Berlin wall
Yeye ni very good at 1-1 situation na ana 89% ni unbeatable i.e hauwezi kumfunga mara nyingi ukiwa wewe (striker) na yeye kwenye short distance
Kipaji kingine cha Germany
Labda atapangwa mascherano pale kati.Gerard Piqué amepokea kadi ya tano ya manjano dhidi ya Leganes, hii inamaanisha kuwa hatacheza mechi ya Barcelona inayofuata dhidi ya Valencia.
Hii haitakuwa rahisi kwni Valencia wanacheza vizuri sana kwenye uwanja wao wa nyumbani. Je! Valverde atamtumia Umtiti pembeni mwa Vermaelen?
Huyu huyu jamaa amekuwa moja ya makipa bora kabisa ulaya. Mi napendaga tu anavyopiga pasi. Kuna wachezaji wa ndani wa timu pinzani kwa baadhi ya timu atakuwa anawashinda idadi ya pasi.