FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

hivi yule delofeu tulimrudisha kwa kiasi gani?maana back pass nyingi hajui kunyumbulika anacheza winger ya kizamani kusubiri huko huko juu aisee kwanini denis suarez mnyama hamchezeshi?
Jamaa hawezi kabisa kudribble. Anategemea spidi yake na kucross. Sijui nani kamwambia tunapigaga macross kama RM? Semedo anaweza akaipiga ile winger kuliko huyu jamaa.
 
Wakati Neymar akiendeleza idadi ya card nyekundu
Takwimu za league 1 ziko hivi
Top scorer ni Falcao ana golsi 13 - assist 9

Cavani ni wa nne goli 9- assist 8
Neymar ni wa sita goal 7-assist 7(suspended 3 matches)


Laliga Messi goal 11 assist 3

Ronaldo team yake imecheza match 10 amefunga goli moja tu

Barcelona wame activate plan yakumleta tena Coutinho

And good news golden boy Dembele anatarajia kurudi dimbani kabla ya El Classico huku akiwa mbioni kuwania tuzo ya wachezaji bora chipukizi akiwa na mbappe bila kumsahau Jesus

#Barca_fire
 
Dembele atakuwa fit Lin? Tumemkumbuka asee...Paulinho atusamehe mashabiki wa Barca kwa matusi tuliyo mtukana maana kazi anayoifanya hakustahili zile Kauli..Ila NI Somo kwa mashabiki wote wa Barca Mimi nikiwemo,tuache kutoa hukumu mapema.Naona sasa inatokea tena kwa Luiz Suarez watu wanakosa uvumilivu nae.Jaman tumvumilie ipo siku tutajutia Kauli tunazomtolea Leo.kila binadamu hupitia katika wakati mgumu.Suarez hayuko katika wakati mzur kwa sasa.tumvumilie coz we are braugrana....cules forever
 
Wakati Neymar akiendeleza idadi ya card nyekundu
Takwimu za league 1 ziko hivi
Top scorer ni Falcao ana golsi 13 - assist 9

Cavani ni wa nne goli 9- assist 8
Neymar ni wa sita goal 7-assist 7(suspended 3 matches)


Laliga Messi goal 11 assist 3

Ronaldo team yake imecheza match 10 amefunga goli moja tu

Barcelona wame activate plan yakumleta tena Coutinho

And good news golden boy Dembele anatarajia kurudi dimbani kabla ya El Classico huku akiwa mbioni kuwania tuzo ya wachezaji bora chipukizi akiwa na mbappe bila kumsahau Jesus

#Barca_fire
Habari njema, Dembele akirudi mapema ila la msingi awe ameshapona vizuri. Mbape tayari kashanyakuwa ile Award ya Golden Boy.

Nilishasema, tukifanikiwa kufanya powa hadi January 2018. Laliga na hata Uefa twaweza kutwaa msimu huu. Katka dirisha dogo tufanye signings 2 za maana na kuuza wale ambao hawapo kwenye mpango wa kikosi chetu.
 
Penaldo kapewa ballon d
Hiyo bado, kashinda "FIFA Best Men’s Player Award" of the Year
668673db1ba1b3b4ce6ee26f366b8760.jpg


 
Hiyo bado, kashinda "FIFA Best Men’s Player Award" of the Year
668673db1ba1b3b4ce6ee26f366b8760.jpg


Kwa vigezo wanavyovitumia hawa jamaa na ballon d'or atapewa Cr7 tu....

Ila nadhani FIFA waibdili jina hii tuzo yao maana haijabeba au kusanifu ukweli wa jina lake, "the best" sio kwa vile vigezo walivyotumia kummpa Ronaldo maana hakuwa bora kumkaribia Messi kwenye anga zake ila alikua kwenye timu bora.

Sasa najiuliza kama wote wangekua hawajashinda makombe na wao ndo wako nominated kwa kua top performers kwenye timu zao bado wangempa huyu "mpiga mbizi" kama sivyo,kwanini hawakumpa the best au aliye bora kama jina la tuzo lilivyo?

Namalizia kwa kusema kua mpira umetawaliwa na siasa, na tuzo hazina heshima tena na kama mambo yataendelea hivi basi mtu atacheza mechi chache kwenye msimu na kucheza nyingi mwishoni mwa msimu huku akijitahidi kuperform kuliko miezi iliyopita na hopefully atapewa tuzo for only 5 games in the season when he was asleep in more than 30 games throughout the season na hapo itabidi wagawe tuzo ya mchezaji bora wa miezi miwili sio msimu mzima kama wanavoziita.
 
Yupo. Alena, Paco, Gomes, jose Manuel, semedo, digne, mascherano, cillesen, delboy, dennis na Varmelean.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom