FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hahaaha sasa hivi kila mtu anaringa kisa wanaona barca ana mkwanja mrefu wa uhakika wa kumsajili yeyote wanayemtaka and I am sure barca hawezi kumnunua mbantu kwa zaidi ya hiyo release clause yake much less mchezaji mwenyewe bado hajajiprove ulaya and his talent sio kama ya dembele. hao nice kama wameona kwa barca ndo watanenepesha akaunti yao imekula kwao maana wasipomuuza kwa barca basi mkataba wake ukiisha atanunuliwa kwa bei ya kuku ahahahaha.By the way we have plenty of players in the midfield ambao wakipewa nafasi wanaweza kufanya maajabu cha maana ni dembele,na yule alcacer wakawape real Zaragoza maana ndo kunaokomfaa na gerlad doefoulu wampe mda maana he's promising to do better and dembele Huyo kama wakitenga bajeti uhakika wa kuvaa Uzi wa barca upo labda kwa koutinho ndo ⅛ probability so far so good tunaitaji dembele aje kwanza wengine watacope na msimu maana wako wengi na ushindani unavokua mkubwa kwao kupata nafasi ndivo wanavozidi kufanya kazi kwa bidii ultimately tutakua na kikosi bora usishangae dogo Denis Suarez akawa mtamu zaidi ya.matarajio ya wengi maana la masia products always are better sema makocha wa hapo nyuma hawakuwamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia tumeanza kumnyemelea Naby Keita. Huu msimu tumetapatapa sitasahau.
From what I have seen what makes me think Semedo could be a gem,Delafou needs a bit of polish ili awe composed na Poulino the powers that be na coach wameona kitu ambacho we don't see OR is it hiyo timu tuliyocheza nayo ni hopeless
 
Barca kweli Neymar hajatuacha salama,eti tunampeleka mahakamani tunamdai mill 7 kwa kukiuka mkataba
 

Similar Discussions

48 Reactions
Reply
Back
Top Bottom