FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Tukianza hizo nyie ndiyo balaa. Juzi verane kashika kwenye box, aspas kala umeme wa ajabu. Huku leo mkipata goli la offside. Hata hivyo hongera mkuu kwa kukataa usindikizaji.
Wameniacha goal lao la kwanza na Celta beki wa Celta kalala chini wako busy wanamganga imepigwa kama adhabu mtu kaenda kapiga goal....hadi goalkeeper alikua anamuangalia jamaa yake aliyedondoka
Madrid nouma sana aisee kwa kubebwa
 
Washabiki wa Kingmavi mesi utawajua tuuu kwa kuchongaaa

Mesi ndiyo nani mkuu?? Wakuchonga ama???

Dunia inamtambua mmoja tuu. KING MESSI hakunaga kama yeye tangia ball lianze kuchezwa ulimwenguni,, Maradona mwenyewe anamtambua huyu kiumbe hakunaga nasema.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Nimeicheki mkuu.:D:D:D

Ni aibu mno kumfananisha na mchezaji like ronaldo,, mwingine anakuja eti gaucho. Ivi wanatania ama nini wanachokitafuta kwa huyu mchawi???

King Messi hafansnishwi na vitakataka. Maradona na Pele wamefunikwa ile mbaya sembuse vidagaa :D:D:D
 
hapana mie namjua CR7.
Final Golden Boot Ranking 2016-2017
1 - Lionel Messi (37 goals = 74 pts)
2 - Bas Dost (34 goals = 68 pts)
3 - Aubameyang (31 goals = 62 pts)
4 - Lewandowski (30 goals = 60 pts)
5 - Luis Suarez (29 goals = 58 pts)
5 - Harry Kane (29 goals = 58 pts)
 

Similar Discussions

48 Reactions
Reply
Back
Top Bottom