FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

JUVENTUS VS BARCELONA

uefa.PNG
 
TAARIFA MUHIMU...
Ndugu msomaji unaarifiwa kuwa itakapojiri tarehe 21/03 Ulimwengu wa Soka utakuwa kwenye maadhimisho ya siku ya kuzaliwa ya Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka Ronaldo de Assis Moreirra aliezaliwa katika viunga vya Port Alegre nchini Brazil...

Taarifa hii imetolewa na kusambazwa kwenu na msemaji wa AC Milan Afrika Mashariki ambae pia ni afisa habari wa mchezaji huyo barani Afrika Gang Chomba.

MOTO:
Some thing can't stay buried...
Bashite toa vyetiiiiii
tumekusikia mkuu ukitupa nauli tutajisogeza huko
 
For the first time since 2007 there will be no laliga team in champs league semi finals...

We are sick and tired of Spanish teams dominance in uefa competition now they need to get a rest.

Hii draw ya jana imenifurahishaa sana, it's fairest UCL quarter finals draw to ever see.. .. Kuna timu kama real wao walikuwa ni wazee wa kupewa mdebwedo tu kwanzia makundi alafu timu ngumu wanakuja kukutana nayo fainali na hili halifanyiki bure tu bila kupangwa maninaa na sioni akipenyea wapi kwa mabavarians.

Pia kuna Barcelona, nikiwa kama shabiki wa Mpira sifurahishwi na barca kucheza nusu fainali kila msimu katika mazimgira yoyote yale ni kwanini kila siku nyie mmo kwenye last four haijalishi ni kwa njia zipi? Of course sioni barca akipata goli hata moja mbele ya ukuta uliotukuka wa italian BBC na hata penalty ikitokea kwa uzoefu na umahiri wa Gig Buffon sioni mpira utapitia wapi hili ukaguse nyavu kwa tafsiri rahisi ni kwamba Barcelona njeee.

Kuna atletico Madrid wao kila wakifika fainali hakuna wanachokifanya zaidi ya kutupa heartbreaking tu, na sasa hivi tayari wameshapoteza mvuto kwa watu na hakuna anaetaka kuwaona wanacheza Tena fainali, kiufupi tunataka watokeeee.

Nikiwa kama shabiki wa ligi bora kabisa katika ulimwengu huu wa soka (na hapa siongelei laliga utakuwa ni ukichaa huo) basi nimeamua kuipa sapoti Leicester City kutoka jiji la Leicester lilipo nchini England katika safari yao nzima kwenye michuano ya msimu huu na hii ni baada ya kuonyesha matumaini makubwa ya kufika mbali na hasa juzi walivyo mcharaza bakora mbili za uhakika Sevilla na kumrusha nje ya mashindano haya.

Mwisho tu ni seme wapenzi wote wa Barcelona na matawi yake naombeni tarehe 11 April tujumuike kwa pamoja pale Vincete Calderon mpate kushuudia mbabe wenu ATM atakavyo garagazwa bila huruma kwenye nyasi za Spain kabla hajaja kukamilisha rasmi ratiba yake ya ushiriki wiki moja baadae kwenye dimba la King power alipofia ndugu yenu Sevilla.

Go leicester go ni muda wa kurejesha heshima sasa kwa kuonyesha timu ya ishirini huku kwenye uefa inaweza kucheza fainali kama sio kuchukua ubingwaa kabisa.
 
Tatizo hii ndoto yako umeiota nyakati za mchana. Rudi kulala nadhani utaota tofauti.
 
Ndugu Lizarazu,
Naomba ututendee haki sisi wapenzi wa mpira wa mguu wenye kuweka ushahiki pembeni pale penye ukweli.

Unataka kuwaonea mashabiki wa Real Madrid..ukumbuki ndani ya miaka 6 za karibuni madrid wamekutana na Bayern Munich, B. Dortmont kama mara mbili mfululizo kwa kila timu?

Hivi Atletic de Madrid kufika fainali mara mbili si imetutoa sisi Barca na B. Munich?

Barca inapokutana na timu kama Arsenal na B.Munich unaanzaje kusema kuna upendeleo?

Unaanzaje kusema Juventus watawafunga Barca wakati miaka miwili haijaisha tokea Barca wawafunge hao Juventus kwenye fainali iliyokosa mvuto kabisa tena ya upande mmoja.
 
Unaota ndoto nyevu wewe ,mimi sio shabiki wa AT ila hawawezi kufungwa na leceister
Halafu unawaondoaje mabingwa wa dunia wasicheze shindano la dunia yaani UEFA
 
Hizi ndoto ni shida, na kwa taarifa yako Barca atafika final
 
Mkuu achana nae tu huyu, hawa mashabiki wa timu za england wanasumbua sana baada ya kuona timu zao haziko vizuri kwa miaka ya karibuni wana amua kuhamia kwa Juve kwa siki kadha kabla ya tar 18&19
 
Unaota ndoto nyevu wewe ,mimi sio shabiki wa AT ila hawawezi kufungwa na leceister
Halafu unawaondoaje mabingwa wa dunia wasicheze shindano la dunia yaani UEFA
Ahahah..... Yaani wewe ndio miongoni mwa wale obsessed fans wa laliga sasa mimi sitaki kuleta maneno mingi, ila nakwambia hivi ninyi wote nusu fainali tunawasahau na mnarudi kwenye ligi yenu ya wahindi huku tukutane hapa tarehe 19 April kwenye maombolezo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom