FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Bubu wewe kenua tu....ukiaanza kusema niambie. Maana una-type tu hahaaa.
Karibu mkuu.

Vipi wewe hukupata mfarakano na mahusiano.com kuhusu baadhi ya nyimbo zile kwani nimesikia wametishia kushitakiana na website nyingine eti inatumia miziki ya bongoflava ambayo ni "mali ya Mahusiano.com"!!
 
No one is bigger than the club. Arsenal need to move on and buy new talents.
 
Vipi wewe hukupata mfarakano na mahusiano.com kuhusu baadhi ya nyimbo zile kwani nimesikia wametishia kushitakiana na website nyingine eti inatumia miziki ya bongoflava ambayo ni "mali ya Mahusiano.com"!!

Hapana, mimi sina ishu nao. Nadhani wewe mwenyewe uliona barua yao inasema nini.
Having said that, hiyo ilishanitokea (direct linking from the site), ikasababisha mimi mwenyewe nifunge website yangu. Nikabadilisha webhost (nikapoteza hela niliyokwisha lipia), aliyeniibia sikumwambia chochote. Ila nikikwambia aliyekua ananiibia, utashangaa how hypocritical some people are.
 
No one is bigger than the club. Arsenal need to move on and buy new talents.

Ole, nakubaliana nawe. It looks like Anelka may come back. I always felt Anelka could have come back earlier. Even when he ended up in Turkey, I always felt Anelka would have made a great striker if he came back to Arsenal. Anelka is wasting his potential at Bolton. Mwana mpotevu, Arsene needs to forgive and forget.

Anelka is only 28.......If Anelka and Reyes come back to Arsenal, halafu wanunue striker mwingine, na labda midfilder wa nguvu nguvu, basi mimi sioni tatizo liko wapi.
 
Defunk,
Yule kijana Babel striker mbaya sana nadhani hata kumzidi Henry ktk kiwango alichokuwa nacho leo hii.
Navyosikia wana finalize deal kwa hiyo utakuja nambia mwenyewe!
 
Kuntakinte,

Hapana mjomba hua nakubali sana matokeo!.. mara nyingi najaribu kuutenga Unazi ktk reality hata wakati ule wa Simba - Yanga, nilikubali mahala ambapo Simba ilichemsha!..
Leo hii hata jina moja la mchezaji wa Simba ama Yanga sifahamu kabisa mimi naona watu wakikimbia tu uwanjani.
Babel mtoto mbaya sana.. kuna wachezaji ambao kama ingekuwa amri yangu lazima ningewa sign. Kwanza mashine ya kati Stephen Appiah wa Ghana kisha striker wa Togo yule Moustapha Salifou huyu jamaa pia hajulikani lakini ni striker mmoja mbaya sana! sijui anachezea timu gani.
 
Masatu,

You got it right mimi Pan Africa mkuu yaani enzi zile za Panya weee! Mbele ya Jella Mtagwa na Peter Tino, hazitarudia tena hizo enzi unakumbuka Peter Tino alivyotupeleka Lagos?

Mzee ES

Nimekukubali wewe mtoto wa mjini. Huwezi kuwa Pan african bila kuwa umebobea ktk viunga vya Saigon, Gogovivu, Newport etc
 
Sahihisho, mchezaji wa Togo nayemzungumzia sio Moustapha ila jina lake nimeambiwa ni
Kader Mohamed aliyefunga goli against Korea!

video03.jpg
 
Dudu inawezekana akafaa Arsenal.Tusubiri tuone. Wenger yuko unpredictable. Nasoma na Obafemi Martins wanamfuatilia. Sio mbaya, pace, skill and power.
Mkandara huyo Kader Mohamed sijamwona. Ila Babel namwaminia, lakini bado hajaiva. Arsenal wanahitaji mchezaji aliye proven kwa sasa, bila ya hivyo, msimu ujao ni kusindikiza tu tena.
Liverpool wanafanya kweli, Manu wanamhangaikia Tevez. Sasa Arsenal sijui vipi?
 
Mkandara, Babel ndio huyoooooooo kaenda Liverpool. Naona Wenger alijivutavuta. Ila inachekesha, wakati Arsenal walimfuata, akasema anaipenda Arsenal na angependa kuchezea Arsenal huko mbeleni, lakini sio msimu huu. Sasa hivi anasema anipenda Liverpool, duuh, ipo kazi.
Hivi Wenger ana mpango wa kushinda ligi kweli? Akiweza kushinda ligi msimu ujao, maximum respect. Somehow I hope he gets another striker. Even Martins will do. Ila naona timu zilizokaa sawa ni Manu na Liverpool. Ipo kazi!! Arsenal is desperate.
 
Defunk,
Basi mjomba kama kijana kaenda Liverpool sina ubishi na Nasema tena mwaka Kesho Bingwa ni Liverpool....naweza weka hata fedha!
 
Mzee Kichuguu unamzungumzia nani kwanza?... tunamzungumzia yuel kijana Babel wa Ajax na Holland team ya vijana. kanuinuliwa na Liverpool kwa Euro millioni 17 (he is worth more than that), si mchezo mtakuja nambia!
 
Samahani Mzee Mkandara,

Unajua mambo ya mpira wa miguu niko nyuma sana; ninajaribu ku-catch up baada ya kudumazwa na huu mpira wa kukimbizana ambao wapuuzi wa hapa wanauita ati wa miguu huku wakiubeba makwapani.
 
With the European soccer drama coming to a close inaonekana most
coaches have to look elsewhere.Rijkaard huyo naye anaanza:

Rijkaard to leave Barcelona post

_44639135_frankrijkaard203b.jpg

Rijkaard has been in charge at Barca since 2003​

Barcelona coach Frank Rijkaard is to leave his post at the end of the season and will be replaced by the club's reserve team coach Josep Guardiola.

Former Dutch international Rijkaard, 45, took charge at the Nou Camp in 2003 and won La Liga in 2005 and 2006, as well as the Champions League in 2006.

But Barca have not won a trophy since and currently lie third in the table.

Guardiola, 37, played for Barca for 17 years from 1984-2001 before returning to coach their reserves in 2007.

The announcement came less than 24 hours after Barcelona were thumped 4-1 by bitter rivals and newly-crowned La Liga champions Real Madrid.

Barca president Joan Laporta confirmed Guardiola's appointment at a press conference, saying: "The administration of the club has decided that at the end of this season Frank Rijkaard will cease to be the coach of Barcelona and the position will be occupied by Josep Guardiola.

"Josep has the knowledge, the optimism and the self-confidence to achieve success."

Guardiola, who will officially take charge on 30 June, is a Barca legend who was captain when they won the European Cup for the first time in 1992, and also collected six league titles while at the Nou Camp.

With Barca set to finish trophyless for a second successive campaign, there had been constant speculation over Rijkaard's future and former Chelsea boss Jose Mourinho, Villarreal coach Manuel Pellegrini and Michael Laudrup of Getafe had all been linked with his job.

Spanish football expert Graham Hunter told BBC Radio 5 Live: "The decision to sack Rijkaard has been building for the majority for the season.

"The directors had been losing faith in him, and rightly so, for several months. In my view, the time was right to remove him in January - trophies could have been won if that action was taken.

"A large majority of the board wanted Mourinho to replace him but Laporta is the president and said he wanted his own man, who is Guardiola.

"I think they have made a bad decision and they will regret it.

"What you need in that dressing room is experience at man management. Rijkaard has failed in the last few months because of poor individual man-management and Guardiola cannot have the skills yet with his limited experience

http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/europe/7391126.stm
 
Rijkaard one of my favourite midfield players of all time, lakini as a coach I am not yet convinced. Timu zote alizopitia amebahatika kuwa na wachezaji wazuri.....timu ya taifa, Ajax, Barcelona....ngoja tuone next step.

destination Chelsea??
 
Nzokanhyilu,

Mimi pia nina mawazo kama yako.Huyu bwana na Rudd Gullit na Marco
Van Basten walikua wakali wa timu ya Uholanzi...
lakini as a coach I have nothing tobsay.Let other folks judge him!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom