FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Huu ufupi ni bora kwetu ndio umetupa mataji na kusaidia kuzifunga team za London kama Chelsea na Arsenal
Round hiii ucjarbu kusema mtaifunga
Arsenal maana hata bayan wameshajua
Mteremko ulikua wakat wa babu
 
Lkn situlisha wafunga? Historia haitabadilika, lkn kwa huyu kocha wenu bado tu mkikatiza anga zetu tutawapiga tu maana tunamjua vzr na timesha mpiga vya kutosha
Haa haa haa now mkitupga na tushindwe
Kuscore bhas hapo tunajidole wenyewe
 
wakuu ratiba yetu ya preseason inasemaje.
Hii hapa
Screenshot_2018-07-23-16-20-06.jpg
 
Nasikia Barca itakamilisha usajili wa huyu dogo anaitwa Malcom (forward) kuanzia sasa. Binafisi simjui vizuri hasa kiuwezo, anaemfahamu ufafanuzi tafadhali..
IMG_20180724_113914_873.jpg
 
Mnaomfahamu huyu dogo mtupatie info zake. Nafasi anayocheza na style yake. Anatufaa?

Maana naona tayari ni done deal, tumempokonya mtu tonge mdomoni!
IMG-20180724-WA0011.jpg
 
Mnaomfahamu huyu dogo mtupatie info zake. Nafasi anayocheza na style yake. Anatufaa?

Maana naona tayari ni done deal, tumempokonya mtu tonge mdomoni!View attachment 817462
Anacheza winga yakulia ingawa anatumia mguu wakushoto,pia anafunga magoli mengi akiwa nje ya box,mashuti yake dizaini ya coutinho pia nifundi sana wakuchezea Mpira,pia anaweza kucheza kama kiungo mshambuliaji kwa ufanisi wa hali ya juu.Pia umri wake nimdogo ana miaka 21 tu.
 
Ok, namuombea awe na partnership nzuri na Coutinho upande wao wa kulia, huku nikimiombea dembele awashe moto na Messi upande wa kushoto.

Msimu huu tutawanyanyasa sana!
Mkuu Messi anacheza kulia na dembele, Cotinho anacheza kushoto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom