Sevilla hawa wagumu....na ni away....
Hahaha hii comment yako imenichekesha kweli!!hawa jamaa hata wakishinda hawatapata chochote wala hawaendi popote. sijui nini kinawafanya wacheze kwa nguvu hivi na wana mechi za UEFA.
To be honest leo Sevilla wako njema they deserve it.
Damu ni Man United, but nikiwa Spain napendelea zaidi Barca...... hehehe mi wa tofauti eeh???Dada nawe ni shabiki wa barcelona?......