Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,324
- 5,934
Bado tukiwa na shida na ukuta tayari tatizo la wafungaji limeongezeka....hakuna namna timu yetu isukwe upya....cjui kipi kinachosababisha tusisajili ma straiker wa kiwango na hadhi yetu kama walivyokua enzi za MSN....
Naona safari hii tupambanie makombe ya ndani tu
Bila kurudi Pep hapo camp nou nahisi hakuna mwalimu atakayetunusuru
Timu imepoteza ladha bila ya Messi. Yeye ndio mchezeshaji watimu, yeye ndio ball controller, yeye ndio mpigaji bora wa freekik/faulo, yeye ndio mpiga corner mzuri, yeye ndio muzee wa dribbling and skills n.k. mwishoo, yeye ndio anaamuwa matokea.