FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Bado tukiwa na shida na ukuta tayari tatizo la wafungaji limeongezeka....hakuna namna timu yetu isukwe upya....cjui kipi kinachosababisha tusisajili ma straiker wa kiwango na hadhi yetu kama walivyokua enzi za MSN....
Naona safari hii tupambanie makombe ya ndani tu
Bila kurudi Pep hapo camp nou nahisi hakuna mwalimu atakayetunusuru

Timu imepoteza ladha bila ya Messi. Yeye ndio mchezeshaji watimu, yeye ndio ball controller, yeye ndio mpigaji bora wa freekik/faulo, yeye ndio mpiga corner mzuri, yeye ndio muzee wa dribbling and skills n.k. mwishoo, yeye ndio anaamuwa matokea.
 
Barcelona ilimnyatia mshambuliaji wa Leeds Rodrigo, 30 katika siku ya mwisho ya dirisha la uhamisho msimu huu , lakini klabu hiyo ya ligi ya Premia ikakataa ofa hiyo ya raia huyo wa Uhispania.
 
🇪🇸 #Xavi: “In #England, if you do a couple of things right and play a few good games, people talk about you being a legend. The media overreacts a lot and overrates a lot of the players.” 😳🙆‍♀️
 
🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪😝🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪😝🤪🤪
 
Hapa ndio unajua Baca wana mashabiki fake. Badilini thread iwe Mess thread. Bahati mbaya nae huko aliko kwa sasa anaonekana wa kawaida tu.
 
Koeman bado hajatimuliwa? Wanasubiri nini? Project mpya ya Barcelona inahitaji kocha mzuri kwenye tactics, Koeman hafai.
 
1st goal. Depay
1632673341194.gif
 

Similar Discussions

48 Reactions
Reply
Back
Top Bottom