Kivipi mkuu???Kwa Barca Allegri ni mzuri, Guardiola ni mzuri ila ukiritimba ni mwingi mno.
Kivipi mkuu???Kwa Barca Allegri ni mzuri, Guardiola ni mzuri ila ukiritimba ni mwingi mno.
Defence mbovu si mechi hii ya mwisho tu almost mechi zote,tunaokolewa na viungo na washambuliaji.kama unakumbuka goli la kwanza tuliofungwa na liver ilikua uzembe mkubwa beki alikua nana rudisha mpira kwa kichwa kumrudishia kipa pembeni akiwapo forward wa liver si akainasa ....goli kalibu zote ni za kizembe mno hakunaga marking ya mtu na mtu.tunaposhambuliwa na kwenye kucheza kona au krossMimi sielewi humu defence inalaumiwa sana-wakati mpira mbele haukai-Barca kawaida ina defend kuanzia mbele sasa kama mbele ndio hivyo its just an impossible task.Suarez amekuwa slow age imekamata-anategemea service.Griezman naye it seems depends on service ili acheze mpira-so how will this work out. Mimi nadhani kuendelea kuwepo kwa Velverde ni kilio..La liga sio priority we may win it-but its the European cup we curve.
On this showing this could only be a dream
Huyu jamaa huwa namkubali sana kuliko hata neimar...sema sio mzuri wa kufunga, kutolewa na livakuku sababu ni yeye..na vile vile mbinafsi sana kwa Messi, pasi hatoi hata kama Messi yuko sehemu ya kufunga....ajirekebishe kwakweli!Dembele 97% fit..huenda tukamuona wiki hii.
Bora hata kocha wa mpito wa Taifa stars ila sio takataka valverde
Sijui valvede anafanya nn barcelona, timu imepoa wachezaj classic kwelkwel lakin huon dalili zozote za kushinda, valvede mpuz tu,
Mshakula 2 mpaka muda huu kutoka kwa Granada.Velvde na benchi lake la ufundi wasipoondolewa mapema zile enzi za barca zitakua zimefika mwisho.
Msimu ulioisha barca ndio timu iliyoongoza kwa wingi wa magoli ya kufunga Spain, msimu huo huo barca ilifungwa magoli mengi ya uzembe wa beki. Cha kushangaza ilikua imeangaika kusajir washambuliaji(sehm walikofantya vizur) ikaacha kusajr beki(eneo ambalo haikufanya vizuri)
Rais na bodi ya timu wanaomg’ang’ania Valverde inabidi watupishe maana ameshshindwa in all spheres ...
Kingine huyu Suarez ndiye mchezaji mwenye away form mbaya zaidi, kila mechi zetu za away mi kama tupo 10