FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Neymar ataendelea kuchezea PSG wakati fans wa timu wanajua fika kajitolea mpaka hela yake mwenyewe hili aondoke timu.Hii dilemma ya PSG haijawahi tokea katika football annals-well,well.well yajayo yanafurahisha-i can not wait to see him ktk PSG colours

Ulisema Neymar will never kick the ball while in PSG jersey na nikashangaa sana
In the world of football there are no 100% guarantees
 
Barca transfer inasima -104€m,sasa ukijumuisha na io sijui itakuwaje
Uwezo upo, -€104m Barça kipato chake ni zaidi ya €650m kwa mwaka

Sema kuwa na balance nzuri walau iwezekane kusajili vizuri msimu ujao na madirisha yajayo
 
Legendary wa ajax,barca na timu ya taifa ya uholanzi Der Boer amesema Frenkkie de Jong anachezeshwa wrong position,,barca anapangwa pembeni mno...anadai kuwa ili aonyeshe hasa uwezo wake ni vema akasogezwa kati ama awe holding midifielder ..yaani acheze positioni ya sergio busqet..wana barca tutafurai ...kwa sasa anasema hachezeshwi sehemu mahsusi kwake Kama alivyocheza katika hizi mechi chache alizoshiriki....amemshangaa kocha Ververde kwa kutoliona hili
Der boer kwa sasa ni kocha wa timu ya vijana ya taifa uholanzi
 
Busquets toka zamani ni source ya mipira ya Barca katika position hiyo hiyo sasa hawa wanavotaka De Jong awekwe Holding Midfield position ambayo Busquets yupo yaani Barca iondoe mfumo wake kwa ajili ya huyu dogo tu?

Mbona Ajax alikuwa katika nafasi hiyo hiyo ambayo Valverde anamweka? Au nimesahau
 
Kuna mambo binafsi nayaona, Valverde hana ile mipango ya timu kutafuta goli haswa, ni uwezo wa wachezaji tu ndio unaotubeba.

Kama timu inamchezesha mtu nafasi asiyoifurahia, kwanini tumchezeshe? Busquets umri unazidi kusonga mbele, hakuna cha maana sana zaidi ya kukaa na mipira na kupaka rangi, ni kama Pique tu, sijui ni utaifa ndo unawabeba paleee.

Alba bado anapiga kazi vizuri saaana, toa Busquets, toa Pique, kuna msimu Umtiti alikuwa anapiga kazi vizuri, akapata majeruhi, tangu alipopona hakupewa nafasi mara kwa mara, naamini hata yeye hana furaha kwa timu.

Mwisho kabisa tutoe mpaka huyu kocha.
 
Nadhani mwalimu huyu wa uholanzi anamfahamu vizuri zaidi kwa maana huenda pia amemfundisha...wacha tuangalie game zijazo.
 
Kuna mambo binafsi nayaona, Valverde hana ile mipango ya timu kutafuta goli haswa, ni uwezo wa wachezaji tu ndio unaotubeba.

Kama timu inamchezesha mtu nafasi asiyoifurahia, kwanini tumchezeshe? Busquets umri unazidi kusonga mbele, hakuna cha maana sana zaidi ya kukaa na mipira na kupaka rangi, ni kama Pique tu, sijui ni utaifa ndo unawabeba paleee.

Alba bado anapiga kazi vizuri saaana, toa Busquets, toa Pique, kuna msimu Umtiti alikuwa anapiga kazi vizuri, akapata majeruhi, tangu alipopona hakupewa nafasi mara kwa mara, naamini hata yeye hana furaha kwa timu.

Mwisho kabisa tutoe mpaka huyu kocha.
Kulazimisha nafasi ni kubaya yasije kujirudia ya Phillipe Courtinho
 
Kuna mambo binafsi nayaona, Valverde hana ile mipango ya timu kutafuta goli haswa, ni uwezo wa wachezaji tu ndio unaotubeba.

Kama timu inamchezesha mtu nafasi asiyoifurahia, kwanini tumchezeshe? Busquets umri unazidi kusonga mbele, hakuna cha maana sana zaidi ya kukaa na mipira na kupaka rangi, ni kama Pique tu, sijui ni utaifa ndo unawabeba paleee.

Alba bado anapiga kazi vizuri saaana, toa Busquets, toa Pique, kuna msimu Umtiti alikuwa anapiga kazi vizuri, akapata majeruhi, tangu alipopona hakupewa nafasi mara kwa mara, naamini hata yeye hana furaha kwa timu.

Mwisho kabisa tutoe mpaka huyu kocha.
Busquets ni engine nyingne pale kati hakuna wakuikama dunia hii
 
Mimi namshangaa sna Rais wa Club(Bartmeou) Valverde alikua anatkiwa apate replacement tang msimu ule ulipoisha lkn Rais amekua akiendelea kumkumbatia kwa kila namna wkt anaona kbs Tactics zake haziendani na sisi.. Ww team iko full of talents lkn cha ajab team haichezi mpr inavotakiwa.. Ebu Imagine angekua Pep au Klopp na kikosi chote hicho kwl
Timu beki una Umtiti, Semedo, Alba, Pique. Unafungwaje na hii timu? Viungo una Sergio, De Jong, Arthur, Sergio Roberto na Busquets. Mbele una Griezmann, Perez n.k

Hatukupaswa kutoa droo hii game, Valverde ana kikosi bora mno. Kwa timu hiihii iliyocheza na Osasuna ni bora kuliko hata Madrid kwa kuchambua mchezaji mmoja mmoja.

Ukipata kocha anayejua kupanga wachezaji ktk majukumu yao kama Klopp hawezi kutoa sare na hawa Osasuna.
Tatzo syo wachezaji tatzo ni kocha unamsajili mchezaji nafasi ya kiungo wewe unakuja kumchezesha wings ndo msimu juzi tulishinda nyumbani goal 3 kwa1 dhidi ya Roma tukaenda Roma tukafungwa 3kwa0 tukatolewa msimu Jana tumeshinda nyumbani goal 3kwa0 dhid ya Liverpool tukaenda anfield kupigwa goals be 4 kwa 0 ko huu ni muendelezo mbovu be wa valvede una viungo Kama busquet,de jong,auther ,raktic, Vidal ukimuacha Roberto ambae leo ni full kesho utampanga kiungo unashindwa kupanga kikosi imara unakuja forward unao watu Kama messi,Suarez,dembele,grizman, coutinho, Perez, Malcolm Na wengneo unashindwa kuweka watu wa kuforce matokeo mfano Suarez syo amalize dakika 90 haya kwenye kiungo busquet syo lazma amalize dakika 90 kwa kuwa umri umeenda haya Roberto syo lazma aanze kwa kuwa una viungo wengi Yule asubiri anapotoka semedo yeye anaingia kwa ajiri ya kusaka matokeo coz anapanda Sana haya kwenye beki Una pique, Clement,umtiti,semedo, Alba syo lazma pique amalize dakika 90 au mechi zingne asianze kabsa aanze umtiti
 
JAMANI ROAD TO BALLON D'OR AND FIFA BEST MAN JEE TUNA MATUMAINI NA MESSI ??!!!!
MAANA NAONA KM VAN DIJK KESHAPEWA BALLON D'OR VILEE!!!!
Unajua Kuna vitu viwili hapa watu huwa tunashindwa kuvitofautisha vvd Best of UEFA halafu ukija kwenye FIFA best man of year Ali maarufu Kama ballon d'or inaangalia vitu vingi mfano Liverpool imechukua uefa imemaliza be nafasi ya pili nyuma ya Manchester city Netherland chin ya vvd imetolewa kikombe na Portugal chini ya Ronaldo haya Barcelona imechukua laliga chini ya messi akiwa goal scorer,uefa semi final akiwa top goalscorer semi final with Argentina in Copa America messi deserve ballon d'or
 
Busquets ni engine nyingne pale kati hakuna wakuikama dunia hii
Unajua Mkuu pale Barca mfumo ambao ulizoeleka ni tiki taka, kwa sasa tiki taka haina faida tena, ule mpira wa kupooza na kuumiliki kwa muda mrefu hauna maana tena.

Rejea Barca ya Enrique aliyobeba UEFA, Uliona Barca ikimiliki mpira for nothing, kulikuwa na Neymar, Messi, Rakitic na Iniesta, watu walikuwa hawana mambo ya kumiliki mpira pasipo faida.

Hata Iniesta kiuhalisia hanaga mpira wa kuhold, ni mtu wa kugusa na kugawa ama kudrible, wanapooza mpira kwa Barca ni Busquets kwa sasa, na hiki ndicho ambacho hata Coutinho kilimshinda Barca, alizoea akikamata mpira atoe kisha akaombe sehemu nyingine na sio kukaa hapo hapo ili apige vipasi viwili vitatu.

Timu inapaswa kubadilika, WHY tusiweke viungo ambao hawana mambo mengi, pale kati tia De Jong, tia Arthur Melo, tia na Rakitic. Kwa bahati mbaya tumemkosa Neymar, ungeweka pale mbele Neymar, Messi na Suarez. Pale kati pangechangamka saaana, kungekuwa hakuna haja ya viungo pinzani kuwa wanarelax na kupumua, muda wote wangekuwa wanawaza wakabe wapi.

Kwa upande wangu, Bisquets anapoza sana mipira na kwa tunakoenda Barca tikitaka haitufai tena kwa asilimia kubwa, uliona Liver walivyotuendesha pale Nou Camp, sema ndo hivyo tu Messi alikuwepo, unafikiri Barca ingekuwa na mpira ambao haupozi pale Anfield tungekufa kizembe vile? Hata yule Pique mwehu tu, weka pale ukuta akae Umtiti, apate uzoefu zaidi, hii ni mashine haswa ila basi tu ndo hivyo.
 
Similar Discussions

48 Reactions
Reply
Back
Top Bottom