FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Beki ya kati kama inatumia mguu mmoja ni tatizo kubwa.
Mkuu Abdul razaq Lenglet Mkumbila yuko vizuri ila puncture mammaayeee ni Pique.
Yule ndio wa kuuzwa au atolewe kabbisa.
Kwanzia robo fainal na Roma magoli mawili kasababisha yeye penalty na kumkumbatia Dzeko akimsindikiza kupiga shuti.
Kuja hii nusu fainal na liverpool maatyaakoo pique ameigharimu sana team Yule ndio wa kutolewa.
Lenglet kisiki abakie tu.
 
Griezmann mechi mbili mfulululizo 80% ya pasi zake zinapotea. Jana dogo Fati karibu 90% pass zake ziliwafikia walengwa.
Hata kama basi asipokuja Neymar mbele awepo messi,Griezmann na suarez kwisha kazi mtoe huyo bishoo.
 
Griezmann mechi mbili mfulululizo 80% ya pasi zake zinapotea. Jana dogo Fati karibu 90% pass zake ziliwafikia walengwa.
Bro embu tengua kauli.
Nimetizama mechi nzima.
Hakuna mtu alopoteza pasi na chance za kufunga km ansufati.
Griezmann kajitahidi uongo dhambi isipokuwa kule mbele hakuna watu wazuri wa kushirikiana nae.
Wote magalasa tu.
Sio huyo fala ansufati wala huyu mpuuzi mnyimi wa pasi perez.
Griezmann alitakikana acheze na king leo messi na Suarez ndio majibu mazuri zaidi yangetokea.
 
Mbona Assist zote mbili zimetoka kwa Perez ?

Mpira wa jana umechezwa ki bahat nasibu sio kiufundi.
Wallahi tena.
Wale wa mbele hawana mawasiliano mazuri na Antoinne halafu pia tactics za kocha uozo.
Mm nakwambia wait Griezmann acheze messi akiwa ndani utaona connection itavyobamba.
 
Bro embu tengua kauli.
Nimetizama mechi nzima.
Hakuna mtu alopoteza pasi na chance za kufunga km ansufati.
Griezmann kajitahidi uongo dhambi isipokuwa kule mbele hakuna watu wazuri wa kushirikiana nae.
Wote magalasa tu.
Sio huyo fala ansufati wala huyu mpuuzi mnyimi wa pasi perez.
Griezmann alitakikana acheze na king leo messi na Suarez ndio majibu mazuri zaidi yangetokea.
Acha chuki watu hao hao unao watukana nfo wameleta matokeo hayo nadhan hujawah cheza mpira mdogo angu ungekuwa mchezaj ungeelewa
 
Acha chuki watu hao hao unao watukana nfo wameleta matokeo hayo nadhan hujawah cheza mpira mdogo angu ungekuwa mchezaj ungeelewa
Sina chuki nao bro.
Please karudie match umtizame Ansufati.
Yan ni bahat nasibu tu
 
Neymar ataendelea kuchezea PSG wakati fans wa timu wanajua fika kajitolea mpaka hela yake mwenyewe hili aondoke timu.Hii dilemma ya PSG haijawahi tokea katika football annals-well,well.well yajayo yanafurahisha-i can not wait to see him ktk PSG colours
 
kwa mfano nirudie kutazama game jee Griezman alikuwepo?
Alikuwepo ndio.
Ila kule mbele hawana mawasiliano mazuri na Antoine kule inahitajika professional player km Suarez ndio mawasiliano yatakuwa vzuri.
Chukulia mfano ile mechi tulofungwa na Bilbao Suarez na Griezmann walionesha combination nzuri japo Barca hakushinda ila moves za magoli zilikua zikionekana
 
Kwa hivyo angekuwepo Messi badala ya Griezman pale mbele,kutokana na kukosekana akina Suarez-Messi nae angekuwa abiria?
 
Ninaona watu wameanza kumshambulia Fati, Tukumbuke

1. Ana Miaka 16

2. Kacheza michezo miwili mpaka sasa (zote anatokea bench)

3.Amefunga Goal moja

4.Bado hana uzoefu wa kutosha

Mchezaji kama Fati hata akikosea kwa sasa anapaswa kutiwa moyo tu kwa sasababu zifuatazo

1.Bado ana hofu (pressure)

2.Bado ana vitu vingi kichwani anataka watu wavione

3.Bado anaangalia kelele zaidi za mashabiki wa kimshangilia kuliko wachezaji wenzake anaocheza nao

Kwa ujumla wake Fati ana kiwango cha juu na michezo yote aliyocheza kafanya vzr sana..

Mchezo wa kwanza aliingia Team ikiwa imeshashinda so alikuwa huru kuchezea mpira

Mchezo wa pili aliingia Team ikiwa imefungwa so aliingia akiamini kapewa jukumu la kubadili matokeo and offcoz alienda kutimiza majukumu...

Hitimisho

Bado siyo wakati wa kuwa na matarajio makubwa kwa vijana chipukizi hasa Fati ila tuwaunge mkono wanapopata dak chache za kuonyesha walichonacho
 
PSG wanted €300m for Neymar

40m ago 19:00

Paris Saint-Germain wanted an offer of around €300 million (£273m/$328m) for Neymar, reports La Parisien.

PSG president Nasser Al-Khelaifi called the locker room to assure them Neymar was unlikely leave, saying that while he would be permitted to depart, it would only be for a massive offer, exceeding what the club paid for him.

Al-Khelaifi was confident Barcelona did not have the financial means to meet his demands, and thus would keep the Brazil star in Paris for this season.
 
Barca transfer inasima -104€m,sasa ukijumuisha na io sijui itakuwaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom