ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,543
Tutajipanga tu wacha majeruhi warudi wala tusife moyo...next time neymar atakuja tu
Mkuu Abdul razaq Lenglet Mkumbila yuko vizuri ila puncture mammaayeee ni Pique.
Yule ndio wa kuuzwa au atolewe kabbisa.
Kwanzia robo fainal na Roma magoli mawili kasababisha yeye penalty na kumkumbatia Dzeko akimsindikiza kupiga shuti.
Kuja hii nusu fainal na liverpool maatyaakoo pique ameigharimu sana team Yule ndio wa kutolewa.
Lenglet kisiki abakie tu.
Hata kama basi asipokuja Neymar mbele awepo messi,Griezmann na suarez kwisha kazi mtoe huyo bishoo.
Bro embu tengua kauli.Griezmann mechi mbili mfulululizo 80% ya pasi zake zinapotea. Jana dogo Fati karibu 90% pass zake ziliwafikia walengwa.
Bro embu tengua kauli.
Nimetizama mechi nzima.
Hakuna mtu alopoteza pasi na chance za kufunga km ansufati.
Griezmann kajitahidi uongo dhambi isipokuwa kule mbele hakuna watu wazuri wa kushirikiana nae.
Wote magalasa tu.
Sio huyo fala ansufati wala huyu mpuuzi mnyimi wa pasi perez.
Griezmann alitakikana acheze na king leo messi na Suarez ndio majibu mazuri zaidi yangetokea.
Mpira wa jana umechezwa ki bahat nasibu sio kiufundi.Mbona Assist zote mbili zimetoka kwa Perez ?
Nawaona tu hapa wanarukaruka.Barca may not be playing to our liking-But God i am watching RMA playing,yaani kwa wapenzi wa Madrid haya ni maumivu ya kichwa
Acha chuki watu hao hao unao watukana nfo wameleta matokeo hayo nadhan hujawah cheza mpira mdogo angu ungekuwa mchezaj ungeelewaBro embu tengua kauli.
Nimetizama mechi nzima.
Hakuna mtu alopoteza pasi na chance za kufunga km ansufati.
Griezmann kajitahidi uongo dhambi isipokuwa kule mbele hakuna watu wazuri wa kushirikiana nae.
Wote magalasa tu.
Sio huyo fala ansufati wala huyu mpuuzi mnyimi wa pasi perez.
Griezmann alitakikana acheze na king leo messi na Suarez ndio majibu mazuri zaidi yangetokea.
Sina chuki nao bro.Acha chuki watu hao hao unao watukana nfo wameleta matokeo hayo nadhan hujawah cheza mpira mdogo angu ungekuwa mchezaj ungeelewa
kwa mfano nirudie kutazama game jee Griezman alikuwepo?Sina chuki nao bro.
Please karudie match umtizame Ansufati.
Yan ni bahat nasibu tu
Alikuwepo ndio.kwa mfano nirudie kutazama game jee Griezman alikuwepo?
Kwa hivyo angekuwepo Messi badala ya Griezman pale mbele,kutokana na kukosekana akina Suarez-Messi nae angekuwa abiria?Alikuwepo ndio.
Ila kule mbele hawana mawasiliano mazuri na Antoine kule inahitajika professional player km Suarez ndio mawasiliano yatakuwa vzuri.
Chukulia mfano ile mechi tulofungwa na Bilbao Suarez na Griezmann walionesha combination nzuri japo Barca hakushinda ila moves za magoli zilikua zikionekana
Niambie mkatalunya nataka nitoe posa vip spain visa zake zapatikana?!Kwa hivyo angekuwepo Messi badala ya Griezman pale mbele,kutokana na kukosekana akina Suarez-Messi nae angekuwa abiria?
Suarez ktk prime alikuwa hakosi goalSuarez kweli mzuri lakini pia ni mkosaji mzuri wa magoli
Barca transfer inasima -104€m,sasa ukijumuisha na io sijui itakuwajePSG wanted €300m for Neymar
40m ago 19:00
Paris Saint-Germain wanted an offer of around €300 million (£273m/$328m) for Neymar, reports La Parisien.
PSG president Nasser Al-Khelaifi called the locker room to assure them Neymar was unlikely leave, saying that while he would be permitted to depart, it would only be for a massive offer, exceeding what the club paid for him.
Al-Khelaifi was confident Barcelona did not have the financial means to meet his demands, and thus would keep the Brazil star in Paris for this season.