Kuleni moja la fasta fasta kwanza
Unakimavi ww nenda kachambe unaongea ujingaHii team inamuhitaji neymar na kocha mpya
ikibidi uza umtiti semedo rakitick vidali rafinha leta neymar au tuwape PSG izo takataka + Togibo
niponamamam*kotunachamba hapaUnakimavi ww nenda kachambe unaongea ujinga
Sawaniponamamam*kotunachamba hapa
Bro alitakiwa awaeke Griezmann,Perez na Alena.Mbele nani? Suarez Messi dembele wote nje unatumia nini kufikiria?
hatuna kocha hapa kwakweliTimu beki una Umtiti, Semedo, Alba, Pique. Unafungwaje na hii timu? Viungo una Sergio, De Jong, Arthur, Sergio Roberto na Busquets. Mbele una Griezmann, Perez n.k
Hatukupaswa kutoa droo hii game, Valverde ana kikosi bora mno. Kwa timu hiihii iliyocheza na Osasuna ni bora kuliko hata Madrid kwa kuchambua mchezaji mmoja mmoja.
Ukipata kocha anayejua kupanga wachezaji ktk majukumu yao kama Klopp hawezi kutoa sare na hawa Osasuna.
Mimi namshangaa sna Rais wa Club(Bartmeou) Valverde alikua anatkiwa apate replacement tang msimu ule ulipoisha lkn Rais amekua akiendelea kumkumbatia kwa kila namna wkt anaona kbs Tactics zake haziendani na sisi.. Ww team iko full of talents lkn cha ajab team haichezi mpr inavotakiwa.. Ebu Imagine angekua Pep au Klopp na kikosi chote hicho kwlTimu beki una Umtiti, Semedo, Alba, Pique. Unafungwaje na hii timu? Viungo una Sergio, De Jong, Arthur, Sergio Roberto na Busquets. Mbele una Griezmann, Perez n.k
Hatukupaswa kutoa droo hii game, Valverde ana kikosi bora mno. Kwa timu hiihii iliyocheza na Osasuna ni bora kuliko hata Madrid kwa kuchambua mchezaji mmoja mmoja.
Ukipata kocha anayejua kupanga wachezaji ktk majukumu yao kama Klopp hawezi kutoa sare na hawa Osasuna.
Bro alitakiwa awaeke Griezmann,Perez na Alena.
Au humjui Alena bro????!!!!!!!
Kaangalie maajabu ya yule dogo.
Mbona mmecheza vizuri tu. Aina ya mchezo ni uleule mnaochezaga kila siku. Sema tu bahati pia inahusika...Timu beki una Umtiti, Semedo, Alba, Pique. Unafungwaje na hii timu? Viungo una Sergio, De Jong, Arthur, Sergio Roberto na Busquets. Mbele una Griezmann, Perez n.k
Hatukupaswa kutoa droo hii game, Valverde ana kikosi bora mno. Kwa timu hiihii iliyocheza na Osasuna ni bora kuliko hata Madrid kwa kuchambua mchezaji mmoja mmoja.
Ukipata kocha anayejua kupanga wachezaji ktk majukumu yao kama Klopp hawezi kutoa sare na hawa Osasuna.
Bryan Swanson
✔@skysports_bryan
https://twitter.com/skysports_bryan/status/1167877614314242054
NEW: We’re told Neymar agrees to stay at Paris Saint-Germain after club fails to reach agreement with Barcelona. Intends to fulfil remainder of PSG contract & commitments. Due to fly to Miami tomorrow to join Brazil squad. #SSN
https://twitter.com/intent/like?tweet_id=1167877614314242054