FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Tukubali barca tumeshavurunda leo hii unataka kuwategemea wachezaji unaowananga na kutaka kuwatoa kafara kwa neymar .kweli watakua na courage ya kupambana?
Dembele,semedo,ractic,coutinho
Yaani messi atachoka sana.otherwise sasa watengeneze combunation ya mashambulizi .Messi,Griezman na Dembele/coutinho
 
Dembele katolewa kafara ila amekataa,nahisi Neymar akija Ndembele atasugua sana benchi.Bora atafute team mapema.Coutinho na Ractic ndo wamekubali kwenda PSG ili Neymar aje.Ngoja tuone Neymar akifanikiwa kuja itakuwaje.Messi ndo kashinikiza Neymar aje.Neymar nae hataki kubaki PSG wala kwenda Real Madrid.
 
Acha uongo coutinho anaenda bayern muda huu huu tu.
 
Aisee! , Bilbao wamechomoa battery sasa mambo ni fire
2019-08-17%2001.08.15.jpeg
 
Dembele katolewa kafara ila amekataa,nahisi Neymar akija Ndembele atasugua sana benchi.Bora atafute team mapema.Coutinho na Ractic ndo wamekubali kwenda PSG ili Neymar aje.Ngoja tuone Neymar akifanikiwa kuja itakuwaje.Messi ndo kashinikiza Neymar aje.Neymar nae hataki kubaki PSG wala kwenda Real Madrid.

Aje tu Real Madrid yeye awe ndo kivuli chenyewe
2019-08-17%2001.37.54.jpeg
 
Wakati anaondoka Liverpool alisema hivi "I need to win European Trophies, Barcelonais my dream team "Na baada ya huu mkopo wa Bayern kuisha Next wanamtupa Serie A na ndio unakuwa mwisho wake.
Liverpool wakabeba ucl,nadhani hadi leo inamuumiza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom