FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mbona liva alba alitucost pia... Uefa is all about psychology
Ah bro yule msengeeee katukosesha kupenya mechi na As Roma kasababisha magoli 2 simpendi hadi leo yule fala.
Alimfanya messi akabe mechi flan hv.
 
Ooh
255679041516_status_686b8aaf22ae4b0290e4d4904b62aa1f.jpeg
 
Nadhan tokea 2005 sasa hivi Huyu ndie kichwa wa hovyo kuwahi kutokea, hata benchi la ufundi ni hovyo vile vile. Misimu mitatu mfulululizo wamekua wakiondolewa uefa kwa sababu ya ubovu wa beki lakini hakuna usajili wa maana unaofanyika kutatua tatizo hilo. Baada ya ile come back ya roma tulitegemea usajili wa beki hakuna kilichofanyika. Msimu ulioisha tumeshuhudia udhalilishwaji anfield kwa sababu ya ubovu wa beki bado hakuna cha maana kinachofanyika kutatua tatizo hilo. Nikiangalia barca ya sasa hivi nyuma sioni ikiimili mtifuano wa UEFA msimu huu. Kwa ujumla kwa kocha huyu na benchi lake tuna safari ndefu.
Naanza kuwa na wasiwasi na kocha mpaka sasa mpira wake haueleweki ni kama amekuwa mtu wa kubahatisha
 

Similar Discussions

48 Reactions
Reply
Back
Top Bottom