FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hivi Barcelona mbona hawasajili world class dafenders, au wamerizika na ujinga uliofanywa Anfield kwny UCL semis,
 
Si unataka kushindana au!
Huwezi mtegemea riqui puig, perez, arena, Miranda na wague pekee.. Kuingia sokoni hakupingiki.. Hawa madogo watatusahidia baadae wacha wapate uzoefu.

Malcom alijitoa 100% lkn uwepo wa messi pale + kocha MPUUZI.. Malcom alibidi aende tu tusije mharibia career yake.
Team yangu Barca imeanza kusajili siku hizi ili iuze

Pole sana kijana Malcom, iliipenda team na ulicheza kwa passion kubwa ila wameishia kukuuza mbali huko kipaji chako kimepotea
 
Si unataka kushindana au!
Huwezi mtegemea riqui puig, perez, arena, Miranda na wague pekee.. Kuingia sokoni hakupingiki.. Hawa madogo watatusahidia baadae wacha wapate uzoefu.

Malcom alijitoa 100% lkn uwepo wa messi pale + kocha MPUUZI.. Malcom alibidi aende tu tusije mharibia career yake.
Huu ushindi wa jana unanipa confidence Barca yetu itakuwa bora sana, huu msimu inapaswa tufikr fainali ya uefa kivyovyote vile..
 
Ukuta wa chuma Man United

https://www.mwanaspoti.co.tz/image/view/-/5226350/highRes/2414552/-/maxw/600/-/o0ee9cz/-/pic+chuma.jpg
 
Similar Discussions

48 Reactions
Reply
Back
Top Bottom