Hongeren Barca
neymar is comingHivi Barcelona mbona hawasajili world class dafenders, au wamerizika na ujinga uliofanywa Anfield kwny UCL semis,
Hivi Barcelona mbona hawasajili world class dafenders, au wamerizika na ujinga uliofanywa Anfield kwny UCL semis,
Team yangu Barca imeanza kusajili siku hizi ili iuze
Pole sana kijana Malcom, iliipenda team na ulicheza kwa passion kubwa ila wameishia kukuuza mbali huko kipaji chako kimepotea
Huu ushindi wa jana unanipa confidence Barca yetu itakuwa bora sana, huu msimu inapaswa tufikr fainali ya uefa kivyovyote vile..Si unataka kushindana au!
Huwezi mtegemea riqui puig, perez, arena, Miranda na wague pekee.. Kuingia sokoni hakupingiki.. Hawa madogo watatusahidia baadae wacha wapate uzoefu.
Malcom alijitoa 100% lkn uwepo wa messi pale + kocha MPUUZI.. Malcom alibidi aende tu tusije mharibia career yake.
Chuma cha mabuaUkuta wa chuma Man United
Chuma cha mabua