ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,543
Kumbuka naye aliingizwa mwishoni kabisa lkn hata hivyo ile si tulishindaDembele kukosa two clear chance kulitufanya tutoke game ya kwanza
Kumbuka naye aliingizwa mwishoni kabisa lkn hata hivyo ile si tulishindaDembele kukosa two clear chance kulitufanya tutoke game ya kwanza
Angefunga tungefikisha goal 5 tusingetoka kuzembe ivyoKumbuka naye aliingizwa mwishoni kabisa lkn hata hivyo ile si tulishinda
Ifike hatua Messi aache wivuIla Messi kaniudhi kumkataa Griezmann,pia najiuliza Messi yupo juu ya Barça?
Messi ana wivu,hata pale team ya taifa alikuwa anainfluence kwa kocha asichague wanaoonekana kuja kumfunika Messi,Mpaka leo huwa najiuliza kwa nini Aguero alikuwa anaanzia benchi kipindi cha kombe la dunia.Ifike hatua Messi aache wivu
Jamaa anazingua tatizo na wao wanamtukuza sana wakataki sio mkubwa kuliko clubMessi ana wivu,hata pale team ya taifa alikuwa anainfluence kwa kocha asichague wanaoonekana kuja kumfunika Messi,Mpaka leo huwa najiuliza kwa nini Aguero alikuwa anaanzia benchi kipindi cha kombe la dunia.
Ila Messi kaniudhi kumkataa Griezmann,pia najiuliza Messi yupo juu ya Barça?
Bado sijaona uzuri wa grazman mpk sasa zaid ya ujanjaujanja tuMessi ana wivu,hata pale team ya taifa alikuwa anainfluence kwa kocha asichague wanaoonekana kuja kumfunika Messi,Mpaka leo huwa najiuliza kwa nini Aguero alikuwa anaanzia benchi kipindi cha kombe la dunia.
Ila Messi kaniudhi kumkataa Griezmann,pia najiuliza Messi yupo juu ya Barça?
Johan alipita ,na yeye atapita tu.Kwani unajua leo kuwa Messi ni mkubwa kuliko Barca?
Messi habari ingineJohan alipita ,na yeye atapita tu.
Johan alipita ,na yeye atapita tu.
Ila Messi kaniudhi kumkataa Griezmann,pia najiuliza Messi yupo juu ya Barça?
Watu wanajifanya kusahau...barca kuna tatzo pale ...their trying to create another problem inspite of solving it
Angefunga tungefikisha goal 5 tusingetoka kuzembe ivyo
Tuko fresh mzee babaWazee wa catalunya, bila shaka mko poa
mbn meesi nae alikosa mech ya pili clear chance..
makosa ndani ya kiwanja yapo tu hakuna ambaye hakosei so iswe sababu ya kumkataa dembele