FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ziweke back tuzicheki
Hizi hapa mkuu
IMG_20190604_230853.jpg
IMG_20190604_230908.jpg
IMG_20190604_230927.jpg
IMG_20190604_230838.jpg
 
Kwa huu usajili wanaofanya Los Blancos msimu huu automatically sisi kama Prime rivals wao inabidi tumsajili Joao Felix. Maana wao baada ya kumuongeza Hazard na huyo Jovic mechi za El Clasico zitakuwa ngumu kuangalia. Hapa timu inatakiwa imsajili Joao Felix na ikiwezekana Sadio Mane aje pia, ambapo Joao Felix na Dembele wawe wanatokea bench

Nilikuwa nabishana na wadau Fulani mtaani nikaargue sana kuwa Coutinho sio Forward kama kocha huyu Valverde anavotaka kuiaminisha dunia, Coutinho anatakiwa kutokea eneo alilokuwapo Iniesta na yawezekana akapata mafanikio kuliko hata Xavi(assists and goals wise)
 
Uko serious unamtaka Sadio Mane Barca? Acha masikhara!
 
Uko serious unamtaka Sadio Mane Barca? Acha masikhara!

Mkuu huyo mtu ana goli 22 za ligi(EPL) na tena sio Centre Forward

Kule EPL winger anaekupigia goli zaidi ya ishirini za ligi ndani ya msimu mmoja huyo ni world class

Sasa Dembele kufika goli 15 tu za ligi tena la liga ni bado, yaani jambo lililoko hewani
 
Nasikia Neymar amekataa kwenda Real Madrid awaambia PSG sehemu pekee anayotaka kurudi ni Barcelona... Huyo Dogo wa Ajax kuna hati hati ya kwenda Psg au achague kwetu hatma i mikononi mwake
 
nyota wa ajax na uholanzi donny de beek anesema anataman kuwa moja ya majina katika timu ya barcelona ,
tuko katika nafas nzur ya kumsajil nyota wa ajax marthijjis de light baada ya yeye mwenyew kusema anapendelea zaid kujiunga psg au barcelona,,
de light amesema atatoa uamuz wa wap ataenda week hii, to stay turn,
rais wa zaman wa barcelona laporta amesema nivizur zaid barcelona ikamludisha neymar kuliko kumsajil grezman,
uwezekano wa nelson semedo kutua athletico madrid pia upo,
na mkurugenz mpya wa ufund wa psg amesema anaitaj kumsahin coutinho, pia barcelona kuna uwezekano wa kuswaap deal la kuwapeleka ,racitic,dembele na umtiti kwenda psg watupatie mbape,
 
barcelona inawafuatilia nyota , junior firpo toka real bets, firipe luis, ricardo pereira toka leicister , kuja kuchukua nafas ya nelson semedo ambaye anataka kuondoka kwenda athletico madrid,
barcelona pia inaangalia uwezekano wa kumsahini golikipa mkongwe gianluigi bufon 40,kuja kuchukua nafas ya jasper cillessen endapo akiondoka ,
kweli barca tumeishiwa
soon tutamtaka vander sar,fabien bartez na wakongwe wwngine,
 
cheko la masikitiko
 
hahahahahaahah
Haka Kagenge Walizani Kumnunua Dembele na Coutinho ndiyo wamenunua Makombe.

Coutinho Flope, Dembele prone injury, Suarez Finished, Messi Jogoo la Shamba haliwiki Anfield, Busquet Kazeeka, Pique kazeeka, Alba uchochoro, Rakitiki Kazeeka, Vidal brainless, Umtiti Finished ....
Sasa munategemea nini?
Jiandaeni kurudi mulipotoka kabla ya 2006.
 
Dembele, Semedo, Coutinho Tunajikuta tena tunaondoa wachezaji bora na kuleta uozo
Wala husikii mizigo Pique, Suarez wakiongelewa kuondoshwa..
Na dhambi ya kubagua wachezaji weusi itatutesa sana
Nina imani kubwa Dembele angeshiriki kikamilifu ile game na Liver tusingepoteza
 
Dembele kukosa two clear chance kulitufanya tutoke game ya kwanza
 
Similar Discussions

48 Reactions
Reply
Back
Top Bottom