FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Andunje anaumizwa na matarajio yake kwa timu nzima, matarajio yake ni kuona timu nzima inapigana kama anavyopigana yeye!

Uongozi wa Barcelona umeacha mpira unafanya biashara ya soka sasa!

Kwa miaka 5 ya hivi karibuni bargain business imetawala sana, na imeinufaisha klabu kuliko mataji.

Wanasahau Lama sia graduate ambao wangeifanya barca kubaki kama vile Pep alivyoiacha au alivyotaka.

Pep aliondoka sio kwamba alishindwa ila alishindana tabia na viongozi, Pep alitaka soka lirudi nyumbani, viongozi walitaka biashara ianze.

Tangu barca waingie kwenye business kampuni mbalimbali yameifuata barca kufanya business, mfano mzuri tunaiona Rakuten, wamewekeza Paundi milioni 405 kwa ajili ya upanuzi wa uwanja Camp Nou, kama tunavyouona pale juu wanaongeza viti vingine, ukamilika utakuwa unabeba mashabiki 105000.

Kwa sasa Camp Nou no ni uwanja pekee barani ulaya ambao unatumia wire less network ya 5G. Imezinduliwa siku za nyuma tu hapo.

Ili Barca ilurudi kucheza mpira wake asilia lazima biashara ife kwanza wageukie La masia.

Tazama barca wakati Pep na Tito Vilanova, timu ilikuwa na wachezaji wa thamani ya kawaida tu.

Lakini baada ya Tito na Pep kusepa, biashara ikaanza. Klabu imenunu wachezaji wengi wa gharama lakini taji la Uefa ni moja tu ndani ya miaka 5.

Wachezaji wagharama wa kujivunia ni Suarez na Neymar tu! Waliobaki hakuna kitu!

Dembele tulisema msimu wa kwanza, umeingia wapili hakuna kitu, Coutinho yale yale tu.
Kiukweli Mimi napenda barca hakuna kitendo kimekuwa kero kama kufanywa kichwa cha mwendawazimu kiukweli umefurahi jana kufungwa maana uongozi unambebelea yule msimamizi wa mazoezi na yeye analazima kubaki maana anajua hakuna timu itakayomtaka
 
IMG_5300.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom