Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,127
- 11,906
Nitajie list ya wafungaji wetu wa 3 kama unaijua!
Hakuna mchezaji ambaye hajawahi kukosa clear chance. Salah mwenyewe alikosa camp nou
Hakuna mchezaji ambaye hajawahi kukosa clear chance. Salah mwenyewe alikosa camp nou
Mnatumia akili gani kumpanga dembele wakati ndyo aliyetu cost game ya Liver Kwa kukosa clear chance