kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 8,345
- 9,948
Jambazi na soka wapi na wapi? Ha haa🤣🤣🤣🤣livakuku leo hatoki,kaka jambazi vidal ndani!🤣🤣🤣🤣 labda kwa kudra allah asee,
Jambazi na soka wapi na wapi? Ha haa🤣🤣🤣🤣livakuku leo hatoki,kaka jambazi vidal ndani!🤣🤣🤣🤣 labda kwa kudra allah asee,
Kwani siku zote hizo ulikua wapi mkuu? 😀Messi anajua alipo
Cku ngapi hizoKwani siku zote hizo ulikua wapi mkuu? 😀
Hahahahahahahahahhahahahahahahahah alikuwa hataniiKwani Messi alivyosema UCL inarudi Nou Camp walijua anatania?
Hahahahahahahahah aibu nimeona mimii have this gut feeling sooner or later Messi atawafanya kitu mbaya-Dembele akiingia tu Liver lazima wakae chini
Uchambuzi maandazi kama huu unajikuta una dharaulika sanaHapa tunapiga mahesabu ya final na ma city
Liverpool machoni mwa team za UK wanaonekana wagumu ila nimewasoma sana kuanzia msimu uliopita hadi huu hapa ,kwetu ni mkate tu ,hadi match ya juzi Beyern walishindwa tu wenyewe,
Ndoto ya Messi kuirudisha UEFA camp Nou na ku win treble ni reality 80% loading...,my analysis haijachanganya mapenzi tu na team yangu ila ni technical aspects nimeangalia
UEFA linarudi Camp Nou
Haka Kagenge Walizani Kumnunua Dembele na Coutinho ndiyo wamenunua Makombe.
Coutinho Flope, Dembele prone injury, Suarez Finished, Messi Jogoo la Shamba haliwiki Anfield, Busquet Kazeeka, Pique kazeeka, Alba uchochoro, Rakitiki Kazeeka, Vidal brainless, Umtiti Finished ....
Sasa munategemea nini?
Jiandaeni kurudi mulipotoka kabla ya 2006.
Barcelona hainatofauti na wapambanaji wa myduguli wa Hiko rwanda
Mminie na chai amezee kabisa",Uchambuzi maandazi kama huu unajikuta una dharaulika sana
Kudharaulika kivipi tuko nyumbani kwetu hapa au umepotea njia?Uchambuzi maandazi kama huu unajikuta una dharaulika sana
It may take them time to rebuild barca again.Haka Kagenge Walizani Kumnunua Dembele na Coutinho ndiyo wamenunua Makombe.
Coutinho Flope, Dembele prone injury, Suarez Finished, Messi Jogoo la Shamba haliwiki Anfield, Busquet Kazeeka, Pique kazeeka, Alba uchochoro, Rakitiki Kazeeka, Vidal brainless, Umtiti Finished ....
Sasa munategemea nini?
Jiandaeni kurudi mulipotoka kabla ya 2006.
Kilichonishangaza ni wakina windj na origi.Mminie na chai amezee kabisa",
Timu imebebe CL 5 unaichukulia poa tu kisa haina messi.
ANFIELD kiwanja kigumu linapokuja suala la kuhitaji matokeo CL. Yaan Liverpool ajue anahitaji 1-0 or 4-0 afuzu kwakeee anakutibu tu.
Kikosi cha kawaida kile ila mziki wameucheza.
YNWA
Klopp ni bonge la kocha ambae anajua kudeal na players vilivyo" anamgeuza mchezaji aliyekua galasa kua key player (not all but many)Kilichonishangaza ni wakina windj na origi.
Wachezaji wauliotolewa relegation zone wakafanyaa vile kuifunga great barca kweli mpira ni spirit.
Hahah ww umemsahau messi alipiga 4 peke yakeHii barcelona ikikutana na arsenal ya kina lacazette na auba itapigwa ichakae