Namuhi
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 1,060
- 1,080
Weka statistics hapa sio porojo.. Mlikamatika haswa mpaka mkaomba refa amalize mpira mapema.sema dogo Arthur akikutana na kaka zake wakina luka maduara na ndugu yake toni anawafanya wanakuwa wanyonge pale sebuleni anakuwa boss wao
Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
Sent using Jamii Forums mobile app