FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Huyu Semedo kama tumepewa bure yani muda mfupi kama vile katokea La masia sasa naona tik tak inakaa mahala pake pale mbele vile vidume vitatu havitulii hapo lazima upate kazi utamkaba nani? Vidal ngoja nimtafutie mtaji wa kuchoma vitumbua
Walikua wanamtaka ac Roma huu ndio muda wakutumia busara za hali ya juu kabisa na kuhama tena kocha anafanya vizuri sana kumuondoa kwenye list ya players wa UEFA
Hatuwezi kua na mchezaji anaruka ruka tu that means you are not at barca's level
 
kuna wakati nilikua namtafuta d.costa, kumbe kuna kajamaa kamemficha kuangalia vizur nikajiuliza hiv ndio huyu costa msumbufu aliyekua bayern au, nikakosa majibu kumbe jibu ni rahisi tu,,,,,,, huyu semedo huyu kwa alichokifanya ni uvunjifu wa haki za binadam.
 
hii wiki ya furaha kwa fans woote wa Barcelona duniani
semedo ni zaidi ya motor sports zile speed na kuizoea tikitaka mapema
dembele huyu anazidi kugawa dose kwa wapinzani.
iniesta utadhani bado kinda anavyokichafua pale kati.
super Ivan rakitic na sergio hawataki utani kabisa.
umtiti yule angekua na ngozi nyeupe angekua hakauki kwenye headline ya vyombo mbali mbali.
messi sasa amebakiza kumvunga kaseja na mapunda ndio maana anaitwa mfalme.
heshima za dhati zimfikie ter stegan kwa kutokufungwa goli lolote mpaka sasa.
visca el barca

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_2017-09-13-07-12-09-1.png

Screenshot_2017-09-13-07-12-20-1.png
Screenshot_2017-09-13-07-13-46-1.png

Cc PAGAN but but he never scored against my dad
 
Valvede kama kocha amejitahidi kuiweka drfence yetu katika hali ya ubora wa hali ya juuu ukimuangali Umtiti, Semedo Pique na Alba wanatengeneza defence nzuri sana. semedo ni mzuri coz ana nguvu na mbio na anatumia akili katika kukaba. alex vidal ni mzuri lkn hana ubora wa kumfikia semedo.Semredo na mfananisha na eric sbidal.lkn lazima tuandae mbadala wa iniesta kozi umri naye wasogea
 
Ineista umri pale upo ukingoni kabisa. Hivi kwani sergi Roberto hawezi kutuvusha?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom