FBI Can Spy Through Your Webcam WITHOUT Turning On Indicator Light

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,080
[h=1]FBI Can Spy Through Your Webcam WITHOUT Turning On Indicator Light[/h][h=1]FBI Can Spy Through Your Webcam WITHOUT Turning On Indicator Light[/h]
Many have suspected it, but now it has been officially revealed by a former agent that the FBI can activate a computer’s webcam to without even making the indicator light activate and light up.
Using this secret method, they can spy on an individual according to information given to the Washington Post last Friday.
Marcus Thomas, a former assistant director of the FBI’s Operational Technology Division in Quantico, explained that, “The FBI has been able to covertly activate a computer’s camera —

without triggering the light that lets users know it is recording — for several years, and has used that technique mainly in terrorism cases or the most serious criminal investigations.”

“Because of encryption and because targets are increasingly using mobile devices, law enforcement is realizing that more and more they’re going to have to be on the device — or in the

cloud,” he continued. “There’s the realization out there that they’re going to have to use these types of tools more and more.”

SOURCE. FBI Can Spy Through Your Webcam WITHOUT Turning On Indicator Light : Political Blind Spot
 
Kwan kwa watu wengine hata wakiwaSpy sidhani kama wana madhara yeyote. watu wengine unakuta wanaogopa wakati ni maInocent. hii inafanyika kwa wale ambao wanakuwa wanatiliwa mashaka au kuna kitu cha kufuatilia. hawawezi kuibuka tu kumfuatilia kila mtu duniani, NI NGUMU
 
Wala hata siumizi kichwa!! Sasa watakuja kuspy nini kwangu!!

Tabia yako katika matumizi ya computer inawapa mwanga wa jinsi ya kujua unavyofikiri na watu kama wewe wanavyofikiri. Hii inawasaidia kuhisi na kuzuia watu wenye chuki dhidi ya taifa la Marekani na washirika wao. Pia wanatumia katika kujenga soko kwa kukupima kama mteja na mapendeleo yako ili waweze kukutumia kama sampuli ya soko la bidhaa zao za mtandaoni.
 
Kazi ya FBI kweli hii mkuu?

Ndio, CIA pamoja na FBI wanatumika sana na Tycoons wa nchi yao, kumbuka ni biashara za hawa macapitalists ndizo zinazofanya Marekani kuwa kiranja wa dunia. Kila unachoona kuhusu uwezo wa marekani kijeshi na kiuchumi ni capitalists kupitia biashara zao. Kigezo cha usalama kwa taifa ni njia ya kujipenyeza na kujipanua ili kushinda na kutawala (conquer and rule) na ndio maana wanachakusema kuhusu kila kitu na kila nchi. Ni sawa na mtu kuitwa Bernard lakini akawa Muislamu (just a metaphor). Federal Bureau of Investigation/ Central Intelligence Agency - collecting data and giving it to the business people for marketing/business purposes or using it for political purposes. Na kiranja mkuu ni Mossad wa Wayahudi. Fanya utafiti utapata mwanga kidogo. "Mwisho wa siku kila kitu ni biashara! hata thawabu/baraka."
 
FBI hawana muda huo, ukikutana na matangazo inbox ujue ni scammers tu wanakutafuta!
 
hii trick ni ya sikunyingi sana ila solution ni kuiziba na black soltape

Computer za wahalifu wa mitandaoni hazina camera kamwe, wanatumia valueless laptops nyuma ya kuta kadhaa na spoofed IP, akistukia kitu tu analidump hilo laptop na kulay low! ni ngumu sana kumlocate mtu kama huyo!
 
Fafanua vizuri mkuu, wengine hapo tunahisi ni uchawi wa kileo
.
sio UCHAWI kaka
ktk hacking kuna vitu vinaitwa RATs yaani REMOTE ACCESSING TOOLS
ni watu tu wanavitengeneza
kwa mfano mimi naweza kukutumia picha, ambayo nime attach tayari
baada ya ku click tu picha hiyo unakuwa tayari affected,
ila kama AVs wako ni strong anaweza ku detect, mfano mzuri
kuna KEYLOGGER ambazo hu record keybord tyiping, mtu tu anakaa anajitengenezea
mambo haya yapo sana FB,
ila AVAST inasemekana ni ana respond sana na hizi keyloggers
.
NIMEJARIBU KUKUFUNGUA KIDOGO
 
Back
Top Bottom