Dah! kila siku zinavyozidi kwenda ndo maadili yanaporomoka.... weekend nilikua mahali kuna vijana kama wanne hivi wote wanaume....wamekaa kaunta wanataniana kuhusu wake zao......Mmoja kati yao akamwambia mwenzao..."Aisee Faza wife ako kasimama balaaa".... nilikua nameza kesto yangu kidogo inipalie maana sikutegemea kama mtu unaweza kumwambia mtu maneno yale..aiseee ni balaa..na nimechoka.