Favourite Drinks: Kinywaji Kipi Unakizimia Sana...(Alcoholic & Non-alcoholic)

kwenye mambo ya maspais na nini, nainua kichwa juu kabisaa. Sihofii nyani wala ngedere. Kwanza Steve, ukishatengeneza/andaa mchemsho? au nilipoteza muda tu?usiniambie hukumbuki.

Mchemsho hushushwa na juisi au soda baridiiii.

Nakumbuka mama....ni ingredients ndizo nimekosa :( :( nitakupatia anuani ya posta unitumia, walau kwa EMS au DHL
 
Back
Top Bottom