Favorite photo: President Barack Obama meets with National Security Advisor

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
[h=5]Favorite photo number three: President Barack Obama meets with National Security Advisor Tom Donilon, Chief of Staff Jack Lew, and Deputy National Security Advisor Denis McDonough in the Oval Office, Nov. 14, 2012. (Official White House Photo by Pete Souza)

[/h]
 
hiki kiti cha pemben km cha mhe. wetu, anachozunguka nacho kila kukicha.
 
Anafanya hivyo ili apate upepo, si unajua joto linavyo sumbua under public!!!!!!!!
 
Wanatambiana kuhusu NFL na NBA, kila mmoja anaipigia chapuo timu yake.
 
Huyu ndiye zake, akiweka mguu mezani amefurahi

View attachment 74065View attachment 74066
attachment.php
 
Inaonekana ndio tabia yake na anapenda sana hiyo style!!tujiulize kwa sheria za US inaruhusiwa?kwa US Protocal je?tusianze kulaumu labda wao na sisi hatufanani!JK nae huwa anapenda kukaa kwenye meza ,wadau walete picha zake akiwa amekaa kwenye meza anaongea na waandamizi wake!
 
Ford.jpg

Ford


Reagan.jpg

Reagan

Bush.jpg

Bush


Inaonekana ndio tabia yake na anapenda sana hiyo style!!tujiulize kwa sheria za US inaruhusiwa?kwa US Protocal je?

Ni tabia ya baadhi ya wamarekani kuweka miguu kwenye meza, kiti au hata kitandani ila hakuna sheria inayokataza kufanya hivyo ni uhuru wako tuu.
 
Tabia kama hii kwao hawaoni kama ni jambo la ajabu ila huku kwetu ukifanya hivi ujue umewapa watu cha kusema.
 
Back
Top Bottom