Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,485
- 96,050
Leo akihijiwa na shirika la utangazaji la Ujerumani, Mtoto wa rais mstaafu wa zanzibar bi Fatuma Karume amesema kuwa yeye anaamini kuwa matokeo ya uchaguzi wa 25.10.2015 ndio sahihi na ilibidi watawala wayaheshimu na akasema haogopi kufa maana alizaliwa siku moja na atakufa siku moja,hivyo ataendelea kupinga kilichotokea zanzibar, huyu binti kweli ni hazina ya wana siasa nchini tanzania na ni mbadala wa mwlimu jk nyerere