Shigganza
Senior Member
- May 24, 2018
- 160
- 412
Kwa kipindi kirefu sasa mwanasheria msomi kama anavyojiita na Rais wa TLS amekuwa mkosoaji mkubwa sana kwa Rais aliyepo madarakani hasa katika eneo la Demokrasia hususani uhuru wa kujieleza na haki za binadamu ambapo amekuwa akihimiza kuhusu kuvumiliana na kuruhusu mawazo mbadala kila mara anapopata nafasi ya kuongea na vyombo vya habari pia kupitia akaunti yake ya Twitter.
Waswahili wanasema ukistaajabu ya Mussa utaona ya Filauni, kumbe bwana yale yote ambayo amekuwa akiwanyooshea vidole wengine yeye binafsi hayaishi kwa lugha rahisi haya ishi, kupitia ukurasa wake wa Twitter amechapisha habari ya kuwablock followers wake watakao kuwa na Mawazo mbadala!!!! najaribu kufikiria yaani ameshindw kuvumilia mawazo na hoja mbadala za followers wake 500,000 vipi angekuwa na watu 50,000,000 si angekuwa dikiteta namba moja duniani.
Hapa kuna jambo la kujifunza wadau tunapokuwa tunasikiliza wanaharakti wakitoa tuhuma mbalimbali kwa viongozi, Serikali hatupaswi kuwaamini moja kwa moja, badala yake tujipe muda wa kutafakari na kuzipima kauli zao kwa kuangalia wanayosema ndio wanayoishi au ndio ile habari ya kuhubiri amani huku umeshika Panga!!!!!!!!