Fatuma Karume: Mwanasheria Mkuu anapanga hila za kuwavua uwakili Jebra Kambole na Edson Kilatu

Uwongo!

Hiyo tweet ya shangazi yako ni ya muda sana, na ilikuwa uzushi tu.

Kwa sasa habari ni hukumu ya Fatma Karume kupitiwa upya, amri ya mahakama kuu.
 
Kwa mujibu wa Wakili Alphonce Lusako ambaye ni miongoni mwa wanajopo hilo la kumtetea Wakili Mwabukusi kilichowasukuma wao kuamua kumtetea wakili huyo ni kutaka kupambana na njama za kukandamiza mawakili wanaoikosoa serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom