Fatuma Karume muombe radhi Prof. Abdirazak Gurnar kwa niaba ya Mzee Karume

No huko sio kumtendea haki, Kiafrika, mtoto hawezi kuomba msamaha kwa makosa ya mzazi.
P
Huyu jamaa ni kilaza sana....

Sio tu ni makosa ya mzazi, na makosa ya Rais; makosa ya Rais hayaombwi radhi na raia

Mkuu wafundishe hawa tofauti ya Babu Karume na Rais Karume

1633943525624.png
 
Profesa aliondoka mwaka 1968 kukimbia kitu anaita terror ya Karume...Najiuliza kwa sauti, Kati ya Karume na Magufuli..tofauti ni nini?
 
Fatuma Karume gani? Huyu wa mahakama ya Vuga au mwingine? Mbona yeye hahusiki?
 
Ndugu zangu,

Huu ni wito kwa "mwanaharakati" na "mtetezi wa haki za binadamu" kupaza sauti na kumuomba radhi Prof. Abdirazak Gurnar na wengine ambao waligeuka wakimbizi kutokana na siasa za Mzee Karume.

Uungwana ni vitendo, upendo huanzia nyumbani. Fatuma Karume aka shangazi kwenye hili umekuwa kimya sana. Toa tamko la kuomba radhi.

Fatma some radhi kwa makosa ya ASP chama ndugu wa CCM?

Kwanini Wakudadavuwa au ile mijamaa pale Lumumba kwanini isifanye kazi hiyo.

Kila mtu si na ajishindie mechi zake.
 
Kwa hiyo mtu anahukumiwa kwa makosa ya mwingine?Akili za wapi hizo?😝😝😝😝😝
Hizo ni akili za Mbweha alivyotaka kuhalalisha kumla Mwanakondoo.
Mbweha alimtuhumu Mwanakondoo kuwa, "mwaka jana ulinitukana", Mwanakondoo akajibu, "mbona nilikuwa sijazaliwa?".
Mbweha akamwambia kuwa kama hukuwa wewe, basis alikuwa Baba yako.
Akamkamata na kumla.
Akili ya Mbweha!
 
Huyo jamaa Kama asingekimbia na kwenda huko UK asingekuwa Prof na asingeshinda hiyo tuzo.

Yeye ndio anatakiwa ashukuru, kuna jamaa nawafahamu walikimbia Zanzibar 2001 wakahamia UK wanashukuru Sana kwani maisha yao yapo safi sana wangekuwa Zanzibar wangekuwa wala urojo tu
Akili Za kiCCM safi hizi
 
Back
Top Bottom