Fatuma Karume muombe radhi Prof. Abdirazak Gurnar kwa niaba ya Mzee Karume

Alaaaaaah kumbe. Basi arudishe favour zote alizopata Kama mjukuuu wa kiongozi dhalimu. Kama hawezi basi atoke hadharani aombe hata msamaha. Ameshakula bata kwa Kodi za maskini na aameishi maisha mazuri yanayotona na udhalimu, halafu ajifanye eti leo ndiyo mwema.
Ni MTU mwema ndiyo kwasababu hakushiriki udhalimu huo!Ni upuuzi kumuhukumu kwa makosa ya Babu yake na viongozi wa CCM!
Juzi tu hapa Mzee Amani amehojiwa kuhusu Fatma kuwa kinyume na serikali ya CCM,Mzee akasema huwezi kuingilia maamuzi ya Fatma kwani ni mtu mzima na anayo haki ya kufanya atakacho!
Sasa kumtwisha zigo si sawa,ni sawa leo tuanze kutafuta watoto Wa JPM na tuwahukumu kwa vitendo viovu vya baba yao,si sawa!
 
Ndugu zangu,

Huu ni wito kwa "mwanaharakati" na "mtetezi wa haki za binadamu" kupaza sauti na kumuomba radhi Prof. Abdirazak Gurnar na wengine ambao waligeuka wakimbizi kutokana na siasa za Mzee Karume.

Uungwana ni vitendo, upendo huanzia nyumbani. Fatuma Karume aka shangazi kwenye hili umekuwa kimya sana. Toa tamko la kuomba radhi.
Kama kuna watu wa kuomba msamaha ni Waarabu ndio wawaombe msamaha Wamatumbi kwa madhila waliowafanyia babu zetu enzi za utumwa.
P
 
Alaaaaaah kumbe. Basi arudishe favour zote alizopata Kama mjukuuu wa kiongozi dhalimu. Kama hawezi basi atoke hadharani aombe hata msamaha. Ameshakula bata kwa Kodi za maskini na aameishi maisha mazuri yanayotona na udhalimu, halafu ajifanye eti leo ndiyo mwema.
Unaonekana una chuki binafsi na Fatma Karume!Yaani umshurutishe Mjukuu kwa uovu Wa babu?Basi kwa wembe huo huo tuwashughulikie watoto Wa Magufuli na kizazi kitakachofuata kwa makosa ya baba yao!!
Tukianzia kwako,unajua mabaya aliyofanya baba yako au babu yako mpaka wewe uko hapo?
Fuatilia halafu kawajibike nayo kwanza ili uoneshe mfano!
 
Fuatilia halafu kawajibike nayo kwanza ili uoneshe.

Unaonekana una chuki binafsi na Fatma Karume!Yaani umshurutishe Mjukuu kwa uovu Wa babu?Basi kwa wembe huo huo tuwashughulikie watoto Wa Magufuli na kizazi kitakachofuata kwa makosa ya baba yao!!
Tukianzia kwako,unajua mabaya aliyofanya baba yako au babu yako mpaka wewe uko hapo?
Fuatilia halafu kawajibike nayo kwanza ili uoneshe mfano!
Yes Kama kweli hakutaka ahukumiwe kwa udhalimu wa babu yake na baba yake basi. Alivofikisha miaka 18 alipaswa kujitenga nao, ameendelea kupata fabours za udhalimu hadi mwaka 2015 EMMA ilapoanza kupata musuko suko ndiyo akaanza kujifanya ni mwenzetu. Unajua walichokuwa wanafanya pale EMMA?, unajua walichokuwa wanakamua Kodi za walalahoi! Uliwahi kumskia akitetea chochote enzi za mkwere?.
Kitendo Cha yeye kuendelea kukubali favours zinazotokana na udhalimu wa babu yake na baba yake, ataendelea kunuka udhalimu huo milele. Atoke hadharani aombe msamaha angalau kwa kula mema yatokanyo na udhalimu.
 
Tuanze kuwashurutisha na watoto Wa Magufuli na mjane mama Janeth kwa uovu wa Mwendazake??
Hizi akili za wapi?
Wewe umeomba msamaha kwa makosa ya babu zako na baba yako?
Hizi ni chuki tu kwa Fatma kutokana na misimamo yake!!
Hii hoja usingeishadadia kama angeendelea kuwa mtiifu kwa serikali ya CCM!Hilo ndio linakufanya uwe na chuki naye!
 
Kama alikuwa dhalimu na wamefaidika na udhalimu wake, siku wakianza kujifanya wema, siku wakianza kujifanya wanatutetea, tuwaambia watuombe Kwanza msamaha. Vingonevyo tutawakata.
 
Ndugu zangu,

Huu ni wito kwa "mwanaharakati" na "mtetezi wa haki za binadamu" kupaza sauti na kumuomba radhi Prof. Abdirazak Gurnar na wengine ambao waligeuka wakimbizi kutokana na siasa za Mzee Karume.

Uungwana ni vitendo, upendo huanzia nyumbani. Fatuma Karume aka shangazi kwenye hili umekuwa kimya sana. Toa tamko la kuomba radhi.
Kwa nini mjukuu wa mzee Karume aombe radhi wakati watoto wake wapo hai?
 
Kama alikuwa dhalimu na wamefaidika na udhalimu wake, siku wakianza kujifanya wema, siku wakianza kujifanya wanatutetea, tuwaambia watuombe Kwanza msamaha. Vingonevyo tutawakata.
Kumbe shida ndio hiyo,hatimaye umesema ukweli!Roho yako inateseka kuona Fatma kajitenga na CCM!Kama angeendelea kuwa CCM na hata kugombea nafasi nyeti,wala usingesumbuka naye!
Huu sasa ndio upopoma!
 
Hana uhalali wa kukemea wengine kama hatakemea matendo ya babu na baba
Mkuu Wakudadavuwa, usimbebeshe mtoto wa watu mizigo isiyo ya kwake, hakuna mtu yoyote aliyefukuzwa Zanzibar, kila aliyeikimbia Zanzibar baada ya yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, aliondoka kwa hiyari yake, hivyo wala hakuna hitaji lolote, la kuombwa msamaha kwa mkimbizi yoyote.

P
 
Ungesema historia yake ya ukimbizi ilianzishwa na nini hadi akaikimbia Znz ingependeza zaidi, sitaki kuamini kama ni uwepo wa Karume pekee ndio sababu.
Mzee Abeid Karume hakuwapenda wazenj wenye asili ya kiarabu. Washombe shombe. Alisema Zanzibar ni ya watu weusi.
 
Kumbe shida ndio hiyo,hatimaye umesema ukweli!Roho yako inateseka kuona Fatma kajitenga na CCM!Kama angeendelea kuwa CCM na hata kugombea nafasi nyeti,wala usingesumbuka naye!
Huu sasa ndio upopoma!
Yes kwa sababu CCM na mazao yao hawajawahi kuwa wema. Narudia Kama kweli ni mwema. Ajivue na arudishe favour zote alizopata kama mtoto wa kiongozi dhalimu. Na kwa kuanza kwakuwa ni mwanasheria aongoze mapambanao ya kuhakikisha Amani Abed Karume anafikishwa Mahakamani kwa dhuruma, mateso na mauaji aliyowafanyia Wanzazibar mwaka 2000. Vinginevyo ni Apportunist kama walivyo wengine. Ni vile tu mfumo uliopita haukuwa upande wake. Kama ni dhuruma Inchi hii ipo miaka yote na yeye amakuwa sehemu ya dhuruma hiyo miaka yote. Ni viazi tu Kama wewe wanaoweza kumsikiliza na kumuamini huyu bibi!
 
Huyo ametunukiwa amekuwa Mtanzania kabla ya hapo waja waliolaaniwa miccm ikimwita Hizbu na wale waliobahatika kufuata rangi ya mtume wote wanaonekana si watanzania ni mahizbu au waarabu.

Ila wakipata jiwe la Tanzanite kilo moja au na nusu tu watakuwa waTanzania wenye kuviteka vichwa vyote vya habari.

Tatizo lipo palepale MiCCM ni wabaguzi na ubaguzi wao hauna miguu wala vichwa badala ya kujiita Watanzania walivyolaanika hujiita Waafrika mbona wakenya au waruanda au waburundi wanajinasibu kwa jina la nchi yao na si Umwafirica.

Kama mnaona Tabu kujiita waTanzania basi hata Utanganyika linafaa. Miccm inaivalisha Zanzibar Uafirika lakini waZenji hawajakubali na hawatakubali watabaki kuwa Wazanzibari.

Wabaguzi wakubwa mnaaibika sasa, Gurna kawa Mtanzania wa kupigiwa mfano. Nawashangaa sana. Ubaguzi kitu kibaya sana.
Hiyo ndiyo MiCCM, wanafiki grade one, Hamza pamoja na kuwa mwanachama wao na mfadhili wamekataa kata kata kumtambua!!!!
 
Yes kwa sababu CCM na mazao yao hawajawahi kuwa wema. Narudia Kama kweli ni mwema. Ajivue na arudishe favour zote alizopata kama mtoto wa kiongozi dhalimu. Na kwa kuanza kwakuwa ni mwanasheria aongoze mapambanao ya kuhakikisha Amani Abed Karume anafikishwa Mahakamani kwa dhuruma, mateso na mauaji aliyowafanyia Wanzazibar mwaka 2000. Vinginevyo ni Apportunist kama walivyo wengine. Ni vile tu mfumo uliopita haukuwa upande wake. Kama ni dhuruma Inchi hii ipo miaka yote na yeye amakuwa sehemu ya dhuruma hiyo miaka yote. Ni viazi tu Kama wewe wanaoweza kumsikiliza na kumuamini huyu bibi!
Wewe ndio kiazi kweli!Hapa sioni hoja yoyote,kazi ya kumfikisha muhalifu mahakamani ni ya DPP!Kesi za madai ndio huwa zinapelekwa na mtu binafsi,ila jinai ni kazi ya DPP kwa kushirikiana na jeshi la polisi!
Kuna watu Baba zao walikuwa Wema ila watoto wakaja kuwa majambazi and vice vesa!
Sasa unataka Mtoto abebeshwe mzigo Wa babu zake ili iweje?
 
Back
Top Bottom