Fatuma Karume: Kwa mujibu wa Tanpol kicheko cha Idriss kimemsababishia "emotional distress" Rais John P. Magufuli

The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,951
12,535
Ameandika huyu mwanamama katika ukurasa wake wa Twitter

Mimi sielewi. Kweli

@tanpol

wanataka kusema kwamba KICHEKO cha Idris kimemsababisha Magufuli EMOTIONAL DISTRESS chini ya section 23 ya Cybercrime Act? Wanaelewa maana ya EMOTIONAL DISTRESS KWELI? It’s PSYCHOLOGICAL PROBLEM! Mnajuwa mnachokifanya kweli? Mnaelewa KATIBA?

1590134817921.png



According to the Tanzanian police laughing at Magufuli’s picture has caused him emotional distress under s. 23 of the Cybercrime Act. Is Magufuli so sensitive that he is caused EMOTIONAL DISTRESS by a comedian laughing? If true then we need to choose a less SENSITIVE President
Screenshot_20200522-104334.png
Screenshot_20200522-104313.png
1590134817921.png
 
Nikajiuliza kama ndivyo, hivi ikimtokea Rais Magufuli kama hiki kilichomtokea Rais Bush (junior) mwaka 2006 kwa kurushiwa kiatu si ingekuwa tatizo lingekuwa beyond "emotional distress" bali hata kufa kabisa kwa pressure??
View attachment 1456424

Mkuu yani unafaninsha USA na Tanzania. ?
Kila nchi ina sheria na kanuni zake jambo alilolifanya Kama ni kosa kisheria lazima aadhibiwe kama hana kosa ataachiwa.
 
Nikajiuliza kama ndivyo, hivi ikimtokea Rais Magufuli kama hiki kilichomtokea Rais Bush (junior) mwaka 2006 kwa kurushiwa kiatu si tatizo lingekuwa beyond "emotional distress" bali hata kufa kabisa kwa pressure??
View attachment 1456424
Angalia na hotuba ya huyu bwana Mkubwa Rais wa Venezuela akimwita Rais George W. Bush kuwa ni "Devil"...

Suppose, Rais Kenyatta wa Kenya amwite Rais Magufuli " The devil is.....", si kesho yake tu tutaingizwa vitani na jirani zetu hawa?

Usipokuwa kiongozi mwenye kifua kipana na ngozi ya kenge, utatesa na kuua watu wengi sana na kwa vyovyote wewe hufai kuwa kiongozi...!!

 
Ameandika huyu mwanamama katika ukurasa wake wa TwitterView attachment 1456423View attachment 1456421
So insecure! such a coward! such a threat to others! We chose the president, we are paying him through our taxes, we have every right to challenge to criticize to laugh at him etc. Oh my God we did not choose a president with such a low emotional intelligence!!

If it is him complaining then something has to be done come october 2020. It is a disaster not only to us citizens but also and am sure here! his security system, his fellow politician around him who are always forced to make him happy even when he acts stupidly!! arrrrgh!
 
Huyo dada nae ni jinga kama majinga mengine tu.



Sent using Jamii Forums mobile app

Ungejaribu kutetea kwa hoja kwa namna gani amesababishiwa "emotional distress" ingependeza sana...

Lakini kushambulia personality ya mtu kwa matusi ni ukosefu wa fikra komavu na hii haitamsaidia mnayemtetea...

Kwani hilo likiachwa na kupita tu kuna shida gani? Atapungukiwa nini zaidi kwamba ataonekana ni mtu mkomavu??

Tanzania needs to have "insensitive president" asiyejali na kuyapa muda mambo madogo na ya kipuuzi kama haya...
 
Ungejaribu kutetea kwa hoja kwa namna gani amesababishiwa "emotional distress" ingependeza sana...

Lakini kushambulia personality ya mtu kwa matusi ni ukosefu wa fikra komavu na hii haitamsaidia mnayemtetea...

Kwani hilo likiachwa na kupita tu kuna shida gani? Atapungukiwa nini zaidi kwamba ataonekana ni mtu mkomavu??
Mwache avune alichopanda, hizo sheria zako nenda kamtetee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom