Fatuma Karume jifunze kuwa na ustaarabu, heshima na adabu uanaharakati hauko hivyo

Huyo fatuma,tokea aliposimama mahakamani na kusoma vifungu vya sheria vilivyofutwa nilimshusha sana thamani
 
Tunakushauri ujifunze au ujaribu kuwa na heshima, ustaarabu na kuwa na Adabu kwa wazazi na viongozi wako wa nchi ambao wewe binafsi na familia yako mumenufaika mno na matunda ya CCM, usipandishe ukichaa, wehu na uchizi usio kuwa nao.

Kwa kuwa katika mambo 10 uliyojaribu kupotosha, kumchafua na kumtukana/
kumdhihaki Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Al Hajj Dr. Ali Mohamed Shein, hayakuwa na maana na ni ya kipuuzi basi tunakupuuza, ila sio vema sana kupita bila ya kusema kidogo kuweka kumbukumbu sawa kuwakumbusha wanaokuwachia na kukuchekea .

Naomba ufahamu yafuatayo kwa utangulizi.
Mhe. Al Hajj Dk. Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, pamoja na kuwepo changamoto mbali mbali, ambazo kila nchi na kila serikali inakutana nazo na ni lazima kuwa nazo, ila Uongozi wa Mhe. Dk Ali Mohamed Shein, amefanikiwa kusimamia kwa uimara zaidi serikali yake na imeweza kutekeleza kwa mafanikio makubwa, Ilani ya CCM pamoja na ahadi zake mbali mbali na pia kufanikiwa kuendeleza kwa hekima na busara kubwa kuimarisha Amani, Utulivu, umoja wa kitaifa na utoaji wa huduma mbalimbali za kiuchumi na kijamii kwa wananchi wote wa Zanzibar.

Katika kipindi chake cha uongozi, tukianza na Sekta ya Uchumi aliahidi, na ametekeleza na kupata mafanikio katika Kukuza Uchumi, kuweka Maeneo Huru ya Kiuchumi, kuhusisha moja kwa moja Sekta Binafsi na kujenga Mazingira Bora ya Kiuchumi ambayo kwa kiasi kikubwa na kwa hali halisi ya uwezo wetu, usimamizi wake huu umewezesha nguvu ya Kupambana na Umasikini.

Mifano michache katika hayo;
i. Serikali inayoongozwa na Dk. Ali Mohamed Shein, imefanya mapitio na kuuboresha Mpango wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umasikini (MKUZA) na iliandaa mkakati mpya wa utekelezaji wa Mpango huo kuja na hadi (MKUZA III) na Dira ya Maendeleo ya Zanzibar (Vision 2020).

ii. Uongozi na usimamizi makini wa Al Hajj Dk. Ali Mohamed Shein, ameweza Kujenga mazingira yanayoendelea kuwezesha uchumi wa Zanzibar kufikia kiwango cha uchumi wa nchi zenye kipato cha kati, kiwango cha ukuaji wa uchumi, kwa mujibu wa takwimu sasa tumefikia zaidi ya asilimia 11%.

iii. Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, amefanikiwa kuendeleza udhibiti wa mapato na nidhamu katika matumizi ya Serikali, kwa kiwango kikubwa ameziba mianya ya uvujaji wa mapato ya Serikali na kuboresha utendaji kazi wa Ofisi ya Msimamizi wa Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu za Serikali.

iv. Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amefanikiwa katika maeneo mbali mbali ikiwemo Kupunguza utegemezi kwa Wahisani wa Maendeleo, misamaha ya kodi isiyo na tija kwa Zanzibar na kuongeza kiwango cha ukusanyaji wa mapato ya ndani inayopanda kila mwaka na hadi sasa kukaribia kufikia Shilingi bilioni 800.

v. Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, ameimarisha kwa kiwango kikubwa Mfuko wa Uwezeshaji wa Wananchi Kiuchumi ambao ameuongezea uwezo wake wa kutoa mikopo kwa wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo wadogo, kujenga na kukiimarisha Kituo cha kuwajengea uwezo wa kifikra na kifedha Wajasiriamali na kuendelea kutoa mafunzo mbalimbali ili wananchi kuweza kujiajiri wenyewe na kupunguza ukali wa maisha na kuondokana na umasikini.
vi. Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, amefanikiwa kuwahamasisha wananchi kuunda vikundi vya ushirika na hasa ushirika wa uzalishaji mali, ambapo wanachama wengi wamenufaika na kuleta tija kwa jamii.

vii. Dk. Ali Mohamed Shein, amehamasisha na kusimamia programu mbali mbali za kusaidia jamii kupambana na umasikini.
Mfano wa programu hizo ni kama; Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo ambapo ameelekeza na kuhakikisha kwamba, fedha za mfuko huo zinatumika kwa lengo lililokusudiwa na hususan kuimarisha huduma za jamii, Asasi za kifedha nchini kuanzisha dirisha maalumu kwa ajili ya kuwapatia mikopo yenye masharti nafuu wanawake na vijana. Hapa pia amefikia kuwalipa wazee wote Zanzibar kila mwezi, kipindi cha baba yako hapakuwa na mambo haya.

Vilevile, katika Sekta mbali mbali zinazogusa uchumi na maisha halisi ya wananchi kama Uzalishaji Mali, maeneo kadhaa yameimarishwa na kuboreshwa na kufanikiwa kwa kiwango kibwa ni kama; Kilimo, Ufugaji, Uvuvi na Mazao ya Baharini, Maliasili, Mazingira na Mabadiliko Tabianchi, Utalii, Viwanda, Biashara na Vyama vya Ushirika.

Aidha, katika Sekta za Miundombinu ya Kiuchumi, Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, amefanikiwa kwa kiwango kikubwa sana. Kwa mfano; Barabara zilizojengwa kwa kiwango cha lami ni nyingi kama; barabara ya Jendele–Cheju–Kaebona (km 11.7) na Koani –Jumbi (km 6.3) kwa Unguja na barabara ya Ole – Kengeja (Km 35), Mkanyageni – Kangani (Km 6.5), Finya – Kicha (Km 8.8) na Mgagadu - Kiwani (Km 7.6) kwa Pemba.
Ambapo ukamilishaji wa jumla ya kilomita 160.8 za barabara kwa kiwango cha lami Unguja na kilomita 51.1 za barabara kwa kiwango cha lami kwa Pemba. Mambo haya hakuyafanya na hakuyacha Baba yako.

Bandari ya Mkoani-Pemba imepatiwa vifaa vya kisasa vya kuhudumia abiria na mizigo kwa kushirikiana na Sekta Binafsi, gati ya Wete limeimarishwa.

Vile vile kwa upande wa Elimu; Sera ya Makuzi na Malezi ya Mtoto na kuongeza kiwango cha uandikishaji kutoka asilimia 31% hadi kufikia asilimia 50%.

Hapa pia Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amefanikiwa;
i. Kutoa hamasa kwa wananchi na Sekta Binafsi kuongeza idadi ya madarasa pamoja na kujenga skuli za Maandalizi hususan katika maeneo yote ya mjini na vijijini.

ii. Kafanikiwa kuweka mazingira rafiki ya skuli kwa mtoto kujifunza kwa kutekeleza Programu ya Lishe katika skuli 40 za Maandalizi na kuanzisha vituo karibia 100 vya Tucheze Tujifunze unguja na pemba.

iii. Kiwango halisi cha uandikishaji wanafunzi kutoka asilimia 83.7 mwaka 2013 hadi sasa kufikia asilimia 100.

iv. Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, amefanikiwa kujenga Skuli za Msingi 10 za ghorofa (Unguja 6 na Pemba 4) ambapo hatua hii imesaidia kupunguza msongamano mkubwa wa wanafunzi.

v. Programu ya Lishe katika Skuli za Msingi zilizo katika mazingira magumu hasa za vijijini.

vi. Amefanikiwa kutekeleza lengo la kutoa elimu bila malipo katika elimu ya msingi kwa kutowachangisha wazee michango yoyote.
vii. Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Kibuteni na Donge Unguja na Mkanyageni, Pemba.

viii. Ukamilishaji wa Mabweni (dakhalia) ya kulala wanafunzi katika skuli zilizo mbali na makaazi ya wananchi hususani Skuli ya Sekondari ya Mtule, Matemwe na Chwaka-Tumbe yatamaliziwa kujengwa.

ix. Amekamilisha ujenzi wa skuli zaidi ya 10 na ujenzi wa madarasa zaidi ya 400 na kuimarisha Elimu ya Sayansi na Hisabati kwa wanafunzi wa Sekondari.
x. amesimamia na kufanikiwa kuimarisha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na ufundishaji wa somo la kompyuta katika Skuli zote za Sekondari.

xi. Amefanikiwa kuviimarisha vituo vya Mafunzo ya Amali na kuvipatia vifaa vya kisasa ili viweze kutoa mafunzo kwa njia ya vitendo na nadharia ikiwa pamoja na kuimarisha mitaala ya mafunzo kwa kuanzisha fani zinazoendana na mahitaji ya soko la ajira ili kuwawezesha vijana wengi zaidi kujiajiri hususan Sekta ya Utalii, Uvuvi na Kilimo.

xii. Ujenzi wa jengo jipya la madarasa katika Taasisi ya Sayansi ya Karume ili kuongeza idadi ya vijana wanaojiunga na Taasisi hiyo na kupatiwa stadi mbalimbali za maisha.

Kwa upande wa elimu ya juu;
i. Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Taifa (SUZA); kujenga Chuo Kikuu kipya katika eneo la Dole; na kuimarisha mashirikiano na Vyuo Vikuu mbali mbali vya ndani na nje ya nchi na kutoa fursa za masomo ya Elimu ya Juu nje ya Zanzibar.

ii. Kuongeza nafasi za masomo katika Elimu ya Juu na ameimarisha Mfuko wa Bodi ya Mikopo idadi ya wanafunzi watakaonufaika kutoka 2,658 mwaka 2015 hadi kufikia 20,000 mwaka 2019.

iii. Amesimamia ongezeko la idadi ya wanafunzi wa kike wanaojiunga na Elimu ya Juu hususan katika fani za sayansi, ufundi, udaktari na teknolojia.

Mambo ni mengi muda ni mchache. Nitarudi na kumalizia eneo la Afya uliloligusa. Huku pia kuna vitu utahitajika kujua na kijufunza yaliyofanyika. Hata Rome haikujengwa kwa siku moja. Tutafika in sha allah.

Dada Fatuma, kuwa na Adabu na heshimu viogozi wako
Umeandika mengi.

Nichujue kimoja tu tu fact check.

Nchi zenye uchumi wa kiwango cha kati zina GNI Per Capita gani?

Zanzibar watu wana GNI Per Capita gani?

Na Shein aliwakuta na GNI Per Capita gani?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Huyo fatuma,tokea aliposimama mahakamani na kusoma vifungu vya sheria vilivyofutwa nilimshusha sana thamani
Ana msongo wa mawazo, ukiona tu mwanamke anavaa wigi ujue akili ni nywele na yeye kaweka nywele za katani au za watu waliokufa hivyo hawezi kuwa na upeo bali mapepo.
 
Kaka Chiwinga naona tangu upate uafisa Tarafa/Utendaji kata siku hizi huandiki tena zile namba zako za simu.

Hongera kwa kuwa mtendaji bila kupitia taratibu za ajira, lakini huh muda ambao umeutumia kuandika juu ya Fatuma Karume ungejitahidi kutafakari namna gani wananchi wa Rutamba, Milola, Kinyope na maeneo jirani hapo Lindi wanapata huduma ya maji safi na salama, umeme wa uhakika na barabara nzuri kwa kuimbusha Serikali.

Pamoja na yote jaribu kumkumbusha Mh. Rais afuatilie mradi wa maji wa Ng'apa ambao alienda mwaka 2017 na kunyang'anya hati ya kusafiria ya Mkandarasi lakin mpaka leo haujakamilika.

Asante na wasalimie Rutamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe anatetea tumbo lake!
 
MKUU MWENZIO YULE WAKILI MSOMI WA HUMU NDANI NIMESAHAU ID YAKE ALIJIPENDEKEZA WEEE ILA KILA TEUZI AKAWA ANAANGUKIA PUA, SIKU HIZI AMECHOKA, AMESUSA YANI AMETEPETAAAAA.
Ni bora abaki kuwa wakili msomi kuliko kuwa ccm maana hukawii kuwa zezeta kama Kabugia
 
umepuyanga kusubili ukuu wa wilaya mpaka viatu vimekupauka saivi unaandika nyuzi ndeefu pumba tupu mpaka unasahau kuweka namba ya simu na ‘imeli’
 
Tunakushauri ujifunze au ujaribu kuwa na heshima, ustaarabu na kuwa na Adabu kwa wazazi na viongozi wako wa nchi ambao wewe binafsi na familia yako mumenufaika mno na matunda ya CCM, usipandishe ukichaa, wehu na uchizi usio kuwa nao.

Kwa kuwa katika mambo 10 uliyojaribu kupotosha, kumchafua na kumtukana/
kumdhihaki Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Al Hajj Dr. Ali Mohamed Shein, hayakuwa na maana na ni ya kipuuzi basi tunakupuuza, ila sio vema sana kupita bila ya kusema kidogo kuweka kumbukumbu sawa kuwakumbusha wanaokuwachia na kukuchekea .

Naomba ufahamu yafuatayo kwa utangulizi.
Mhe. Al Hajj Dk. Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, pamoja na kuwepo changamoto mbali mbali, ambazo kila nchi na kila serikali inakutana nazo na ni lazima kuwa nazo, ila Uongozi wa Mhe. Dk Ali Mohamed Shein, amefanikiwa kusimamia kwa uimara zaidi serikali yake na imeweza kutekeleza kwa mafanikio makubwa, Ilani ya CCM pamoja na ahadi zake mbali mbali na pia kufanikiwa kuendeleza kwa hekima na busara kubwa kuimarisha Amani, Utulivu, umoja wa kitaifa na utoaji wa huduma mbalimbali za kiuchumi na kijamii kwa wananchi wote wa Zanzibar.

Katika kipindi chake cha uongozi, tukianza na Sekta ya Uchumi aliahidi, na ametekeleza na kupata mafanikio katika Kukuza Uchumi, kuweka Maeneo Huru ya Kiuchumi, kuhusisha moja kwa moja Sekta Binafsi na kujenga Mazingira Bora ya Kiuchumi ambayo kwa kiasi kikubwa na kwa hali halisi ya uwezo wetu, usimamizi wake huu umewezesha nguvu ya Kupambana na Umasikini.

Mifano michache katika hayo;
i. Serikali inayoongozwa na Dk. Ali Mohamed Shein, imefanya mapitio na kuuboresha Mpango wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umasikini (MKUZA) na iliandaa mkakati mpya wa utekelezaji wa Mpango huo kuja na hadi (MKUZA III) na Dira ya Maendeleo ya Zanzibar (Vision 2020).

ii. Uongozi na usimamizi makini wa Al Hajj Dk. Ali Mohamed Shein, ameweza Kujenga mazingira yanayoendelea kuwezesha uchumi wa Zanzibar kufikia kiwango cha uchumi wa nchi zenye kipato cha kati, kiwango cha ukuaji wa uchumi, kwa mujibu wa takwimu sasa tumefikia zaidi ya asilimia 11%.

iii. Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, amefanikiwa kuendeleza udhibiti wa mapato na nidhamu katika matumizi ya Serikali, kwa kiwango kikubwa ameziba mianya ya uvujaji wa mapato ya Serikali na kuboresha utendaji kazi wa Ofisi ya Msimamizi wa Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu za Serikali.

iv. Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amefanikiwa katika maeneo mbali mbali ikiwemo Kupunguza utegemezi kwa Wahisani wa Maendeleo, misamaha ya kodi isiyo na tija kwa Zanzibar na kuongeza kiwango cha ukusanyaji wa mapato ya ndani inayopanda kila mwaka na hadi sasa kukaribia kufikia Shilingi bilioni 800.

v. Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, ameimarisha kwa kiwango kikubwa Mfuko wa Uwezeshaji wa Wananchi Kiuchumi ambao ameuongezea uwezo wake wa kutoa mikopo kwa wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo wadogo, kujenga na kukiimarisha Kituo cha kuwajengea uwezo wa kifikra na kifedha Wajasiriamali na kuendelea kutoa mafunzo mbalimbali ili wananchi kuweza kujiajiri wenyewe na kupunguza ukali wa maisha na kuondokana na umasikini.
vi. Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, amefanikiwa kuwahamasisha wananchi kuunda vikundi vya ushirika na hasa ushirika wa uzalishaji mali, ambapo wanachama wengi wamenufaika na kuleta tija kwa jamii.

vii. Dk. Ali Mohamed Shein, amehamasisha na kusimamia programu mbali mbali za kusaidia jamii kupambana na umasikini.
Mfano wa programu hizo ni kama; Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo ambapo ameelekeza na kuhakikisha kwamba, fedha za mfuko huo zinatumika kwa lengo lililokusudiwa na hususan kuimarisha huduma za jamii, Asasi za kifedha nchini kuanzisha dirisha maalumu kwa ajili ya kuwapatia mikopo yenye masharti nafuu wanawake na vijana. Hapa pia amefikia kuwalipa wazee wote Zanzibar kila mwezi, kipindi cha baba yako hapakuwa na mambo haya.

Vilevile, katika Sekta mbali mbali zinazogusa uchumi na maisha halisi ya wananchi kama Uzalishaji Mali, maeneo kadhaa yameimarishwa na kuboreshwa na kufanikiwa kwa kiwango kibwa ni kama; Kilimo, Ufugaji, Uvuvi na Mazao ya Baharini, Maliasili, Mazingira na Mabadiliko Tabianchi, Utalii, Viwanda, Biashara na Vyama vya Ushirika.

Aidha, katika Sekta za Miundombinu ya Kiuchumi, Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, amefanikiwa kwa kiwango kikubwa sana. Kwa mfano; Barabara zilizojengwa kwa kiwango cha lami ni nyingi kama; barabara ya Jendele–Cheju–Kaebona (km 11.7) na Koani –Jumbi (km 6.3) kwa Unguja na barabara ya Ole – Kengeja (Km 35), Mkanyageni – Kangani (Km 6.5), Finya – Kicha (Km 8.8) na Mgagadu - Kiwani (Km 7.6) kwa Pemba.
Ambapo ukamilishaji wa jumla ya kilomita 160.8 za barabara kwa kiwango cha lami Unguja na kilomita 51.1 za barabara kwa kiwango cha lami kwa Pemba. Mambo haya hakuyafanya na hakuyacha Baba yako.

Bandari ya Mkoani-Pemba imepatiwa vifaa vya kisasa vya kuhudumia abiria na mizigo kwa kushirikiana na Sekta Binafsi, gati ya Wete limeimarishwa.

Vile vile kwa upande wa Elimu; Sera ya Makuzi na Malezi ya Mtoto na kuongeza kiwango cha uandikishaji kutoka asilimia 31% hadi kufikia asilimia 50%.

Hapa pia Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amefanikiwa;
i. Kutoa hamasa kwa wananchi na Sekta Binafsi kuongeza idadi ya madarasa pamoja na kujenga skuli za Maandalizi hususan katika maeneo yote ya mjini na vijijini.

ii. Kafanikiwa kuweka mazingira rafiki ya skuli kwa mtoto kujifunza kwa kutekeleza Programu ya Lishe katika skuli 40 za Maandalizi na kuanzisha vituo karibia 100 vya Tucheze Tujifunze unguja na pemba.

iii. Kiwango halisi cha uandikishaji wanafunzi kutoka asilimia 83.7 mwaka 2013 hadi sasa kufikia asilimia 100.

iv. Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, amefanikiwa kujenga Skuli za Msingi 10 za ghorofa (Unguja 6 na Pemba 4) ambapo hatua hii imesaidia kupunguza msongamano mkubwa wa wanafunzi.

v. Programu ya Lishe katika Skuli za Msingi zilizo katika mazingira magumu hasa za vijijini.

vi. Amefanikiwa kutekeleza lengo la kutoa elimu bila malipo katika elimu ya msingi kwa kutowachangisha wazee michango yoyote.
vii. Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Kibuteni na Donge Unguja na Mkanyageni, Pemba.

viii. Ukamilishaji wa Mabweni (dakhalia) ya kulala wanafunzi katika skuli zilizo mbali na makaazi ya wananchi hususani Skuli ya Sekondari ya Mtule, Matemwe na Chwaka-Tumbe yatamaliziwa kujengwa.

ix. Amekamilisha ujenzi wa skuli zaidi ya 10 na ujenzi wa madarasa zaidi ya 400 na kuimarisha Elimu ya Sayansi na Hisabati kwa wanafunzi wa Sekondari.
x. amesimamia na kufanikiwa kuimarisha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na ufundishaji wa somo la kompyuta katika Skuli zote za Sekondari.

xi. Amefanikiwa kuviimarisha vituo vya Mafunzo ya Amali na kuvipatia vifaa vya kisasa ili viweze kutoa mafunzo kwa njia ya vitendo na nadharia ikiwa pamoja na kuimarisha mitaala ya mafunzo kwa kuanzisha fani zinazoendana na mahitaji ya soko la ajira ili kuwawezesha vijana wengi zaidi kujiajiri hususan Sekta ya Utalii, Uvuvi na Kilimo.

xii. Ujenzi wa jengo jipya la madarasa katika Taasisi ya Sayansi ya Karume ili kuongeza idadi ya vijana wanaojiunga na Taasisi hiyo na kupatiwa stadi mbalimbali za maisha.

Kwa upande wa elimu ya juu;
i. Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Taifa (SUZA); kujenga Chuo Kikuu kipya katika eneo la Dole; na kuimarisha mashirikiano na Vyuo Vikuu mbali mbali vya ndani na nje ya nchi na kutoa fursa za masomo ya Elimu ya Juu nje ya Zanzibar.

ii. Kuongeza nafasi za masomo katika Elimu ya Juu na ameimarisha Mfuko wa Bodi ya Mikopo idadi ya wanafunzi watakaonufaika kutoka 2,658 mwaka 2015 hadi kufikia 20,000 mwaka 2019.

iii. Amesimamia ongezeko la idadi ya wanafunzi wa kike wanaojiunga na Elimu ya Juu hususan katika fani za sayansi, ufundi, udaktari na teknolojia.

Mambo ni mengi muda ni mchache. Nitarudi na kumalizia eneo la Afya uliloligusa. Huku pia kuna vitu utahitajika kujua na kijufunza yaliyofanyika. Hata Rome haikujengwa kwa siku moja. Tutafika in sha allah.

Dada Fatuma, kuwa na Adabu na heshimu viogozi wako

Linaandikwa gazeti kumjibu Shangazi

Hadi kilomita za mabarabara zinatajwa kama yupo bungeni vile

Shangazi ni powerful,for real!
 
Back
Top Bottom