Fatma Karume azidi kusifiwa kila kona

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Kwa wale walio kuwa wanambeza na kutuaminisha kuwa Rais wa chama cha wana sheria nchini TLS ni dhaifu sasa wajipange kufuta jasho la damu na kuficha uso wao kwa aibu

Taasisi mbali mbali kumsifia na kumwagia sifa lukuki hasa wanasheria ambao wanasifu utendaji wake wa kazi hasa kuwaunganisha na kuwatetea walio kuwa na uhitaji huo wa kisheria

FB_IMG_1550573827804.jpeg


In God we Trust
 
Tazama kwanza hiyo ID yake ndiyo itakupa aina na tabia ya huyo mtu
Kazi ya mwanamme sio kusifia sifia wanaume wenzako mandela alikuwa anavunja mawe Roben Island
Wewe sifia sifia tu iko siku utaf*rwa.

In God we Trust
 
Oooh inawezekana maana Ndugaye aliwaomba wana lumumba kujiunga kwenye social media ili kuipigania ccm sasa inawezekana naye akawa ni mmojawapo
Huenda ile hoja ya wabunge watahiriwe aliitoa yeye kwa sababu ya kuchubuliwa lufindo.

In God we Trust
 
Back
Top Bottom