Tetesi: Fatma Karume Urais Zanzibar kupitia chadema

Watanzania huwa ni easy takers hata maisha tunayoishi kwa Sababu jua limechomoza tu

Naomba mjue tu kuwa kuna msumari wa bati,mbao na zege
Kwa kuwa akili zetu zoimetawaliwa na mapenzi na si ujuzi basi utasikia tunasema msumari ni msumari tu bila kujali matumizi yake ili mradi tutatue shida yetu ya muda mfupi au tukamilishe mapenzi yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimempenda sana huyu dada kwa umahiri mkubwa aliouonyesha kwenye hii kesi ya kubambikiwa. Chadema wakiamua kumtumia kule Zenj basi mambo yanaweza kuwa mswano sana na hata kuwafunika CUF halali ambao sasa wanabanwa mbavu na mhuni PROPESA na wahuni na mafisadi wa MACCM.

 
Fatma karume kwa maoni yangu anafaa sana kugombea urais wa Zanzibar kupitia chadema ..

Maoni yangu tuu..
kwa lipi kubwa aliloifanyia zanzibar?yaani kick moja kumshitaki askari ndio hadi ikulu?
jaribuni kutumia ubongo vizuri

Fatma karume kwa maoni yangu anafaa sana kugombea urais wa Zanzibar kupitia chadema ..

Maoni yangu tuu..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kugombea sawa ni haki yake...! lakini kuwa rais kupitia chama hicho pia ni haki yake katika nchi ya kusadikika.
 
Back
Top Bottom