Fatma Karume: Nitawatetea wapenzi wa jinsia moja, Amber Rutty ana haki ya kutumia mwili wake

Watanzania bado tupo nyuma. Fatma Karume na wanaharakati wengine wana kazi ngumu kubadili mawazo ya watanzania wengi kuleta katika karne hii. Wengi wa Watanzania bado wana imani kuwa Serikali inajua mazuri yao kuliko wao wenyewe.
 
Anasema hakumkosoa Baba yake sababu alikuwa ana fursa ya kumshauri privately! Je ushauri wake ulisaidia nini kwenye utawala wa baba yake? Kama alikuwa hamsikilizi alichukua hatua gani kulazimisha utawala wa sheria nyakati zile?

Alafu vipi kuhusu viongozi wengine kama mawaziri walipokosea mbona hatukumsikia? Vipi marais wote wa muungano kipindi wameshika hatamu mbona hatukuwahi kumsikia?

Kila mtu anatetea tumbo lake, ukiona kelele nyingi ambazo hazikuwepo mwanzo ujue kisu kipo kwenye mfupa.

Binafsi sikubaliani na watu ambao nyakati za msoto wetu wao wakishika hatamu hawakuwa pamoja nasi hadi pale nao wanapoguswa! Huu ndio unafiki ambao vijana wengi wa Chadema wameshindwa kuuvunja.

Ukiniuliza ya CCM nitakushangaa maana hao tumewazoea lakini kwa Chadema tulitegemea zero tolerance ya unafiki.
 
Hayuko sahihi Kisheria sababu Sheria za Tanzania haziruhusu.Ila mtashangaa kwa nini kakomalia ni kuwa hela za mashoga keshapewa huyo ili autetee ushoga at a fee.Kwa muda mrefu wamekuwa wakiwinda wabunge , NGO,Viongozi wa dini , Waandishi wa habari Na watu influential kwenye jamii ili wawaunge mkono wa push agenda yao ya kuharibu nchi kupitia ushoga.Hatimaye wamempata mtu wa kumhonga a push hiyo agenda Fatuma Karume Raisi wa TLS.Hivi TLS kama Chama kwa nini msiitishe extra ordinary meeting mumutimue ? TLS mbona munaonekana so weak kama Chama ? Huyu Raisi wenu kwanza kwa matamko makubwa kama hayo alitakiwa aiitishe mkutano mkuu wa dharura utoe tamko la pamoja Na umtume.Anatumia ofisi ya TLS kuinajisi ionekane mbele za wananchi kama Chama tu cha mashoga wanasheria Na waliompiga kura mashoga

Mkuu unauelewa mdogo au kama una uelewa mkubwa utakua unafanya makusudi kama hujaelewa anachokisema huyu dada!
 
Anasema hakumkosoa Baba yake sababu alikuwa ana fursa ya kumshauri privately! Je ushauri wake ulisaidia nini kwenye utawala wa baba yake?
Alimshauri privately,na hana jukumu la kukuambia limesaidia vipi!Kila kitu uambiwe wewe nani?
 
Vita dhidi ya mambo yanayofanyika faragha ni ngumu sanaaaaaa hii michezo ipo kitambo tangu enzi za mitume huko kabla miaka na miaka
 
Ndio maana Rais alitaka wakili anayetetea ujinga naye afungwe!! Mnameza maelimu machafu ya ulaya mnashindwa kuchuja kiasi mnatetea upuuzi,katafuteni nchi yenu muishi kihivyo hapa hatutaki ushenzi.

Really?

Are you this low?

Huwezi toa amri ya witch hunting ya wanadamu na kuwaadhibu sababu tu wewe unahisi ni gays kwa eti kutembea tofauti au kuongea tofauti au kwa mtu kutaja jina tu...Is this the way of dispensing haki?

Huwezi prove mtu ni gay kwa kumuangalia anavyotembea au anavyoongea,ni upumbavu wa hali ya juu....Lazima tu-establish definition ya nani ni gay na ku-prove beyond doubt kua ni gay na sio witch hunting kama unawinda mbuzi pori...hii ni ethnic cleansing sio proper way ya kutoa haki...

Yaani Makonda awe mkamataji,mshitaki na mtoa hukumu kwa proof eti fulani kataja jina mtu...are we in the dark ages in the medieval times karne ya 7 huko?
 
Wanamkuhumu sana huyu dada AMBER. Kama vyumba vya hawa wanaojifanya kumsakama huyu dada vingekuwa na Vioo bali tungeshuhudia zaidi ya haya!!
HIVI YULE DADAKE SHOZA NAIBU WAZIRI ALIYEKUWA NA KESI YA USAGAJI ILIISHIA WAPI??? AU SABABU SHERIA ZETU HAZIONGELEI USAGAJI SO YUKO HURU KUFANYA BILA KUHUKUMIWA??
Tatizo ni kuwa huyu amber ni nobody kwenye hii nchi ndo maana wanamtoa kafara. Ila angekuwa ana undugu na kiongozi wala haya yote yangeisha kitambo.
 
Really?

Are you this low?

Huwezi toa amri ya witch hunting ya wanadamu na kuwaadhibu sababu tu wewe unahisi ni gays kwa eti kutembea tofauti au kuongea tofauti au kwa mtu kutaja jina tu...Is this the way of dispensing haki?

Huwezi prove mtu ni gay kwa kumuangalia anavyotembea au anavyoongea,ni upumbavu wa hali ya juu....Lazima tu-establish definition ya nani ni gay na ku-prove beyond doubt kua ni gay na sio witch hunting kama unawinda mbuzi pori...hii ni ethnic cleansing sio proper way ya kutoa haki...

Yaani Makonda awe mkamataji,mshitaki na mtoa hukumu kwa proof eti fulani kataja jina mtu...are we in the dark ages in the medieval times karne ya 7 huko?
Watapimwa marinda!! Hatutaki ushenzi
 
Watapimwa marinda!! Hatutaki ushenzi
Sasa jamaa yako alikurupuka akasema mtu anaetembea kama amekatwa centre bolt au anaetajwa tu na mtu yeyote basi anamuadhibu..

Sijui hizi kangaroo courts zinatokea wapi kwenye taifa la kidemcrasia karne hii?

Hawa jamaa ni mbuzi kabisa
 
Really?

Are you this low?

Huwezi toa amri ya witch hunting ya wanadamu na kuwaadhibu sababu tu wewe unahisi ni gays kwa eti kutembea tofauti au kuongea tofauti au kwa mtu kutaja jina tu...Is this the way of dispensing haki?

Huwezi prove mtu ni gay kwa kumuangalia anavyotembea au anavyoongea,ni upumbavu wa hali ya juu....Lazima tu-establish definition ya nani ni gay na ku-prove beyond doubt kua ni gay na sio witch hunting kama unawinda mbuzi pori...hii ni ethnic cleansing sio proper way ya kutoa haki...

Yaani Makonda awe mkamataji,mshitaki na mtoa hukumu kwa proof eti fulani kataja jina mtu...are we in the dark ages in the medieval times karne ya 7 huko?
ANAITWA JAJI BASHITE.

YEYE NDIO POLICE OFFICER, YEYE NDIO DPP, YEYE NDIO WAKILI, NA YEYE NDIO JAJI WA MAHAKAMA YAKE MWENYEWE.

PROFESSOR, JUDGE PAUL BASHITE.
 
Bora umeongea na tumekujua kuwa wewe ni lesb bi mkubwa. Ni dini yako pia inaruhusu hayo?
Yeye ninmwanasheria !anafanya kazi yake .je pale mawakili wanapowatetea majambazi noa wanakuwa majambazi au wanasapot ujambazi?
 
Wewe, uko sawa... Ushoga hapa Bongo haukuathiri: watoto wako wako UK, wanasoma kings and queens academy, wanapata the best education... Wakimaliza, wanabaki huko2, watakuja hapa wakiwa 40 years kugombea urais. Unashida gani mama!?

Hii Vita n yetu wanyonge... Mnataka kututawala milele, watoto wetu wawe mateja, wakwenu wapete! Bravo mama!
Huko Uk huo ushoga ndio balaa toto laweza kurudi punga ukashangaa mwenyewe
 
Huyu mzee anakula cha arusha sio bure, hata hichocheo alichonacho waliomchagua nina wasiwasi nao. Hata kanavyoongea utaona tu kuwa mind set yake haipo sawa
 
Duuuuu tujaribu Kulinda utamaduni wetu mwanamke kabisa km Fatma kusema hadharani wanaume kufanywa na wanawake kuingiliwa kinyume ni halali
 
Back
Top Bottom