Fatma Karume: Nitawatetea wapenzi wa jinsia moja, Amber Rutty ana haki ya kutumia mwili wake

Trump2

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,553
2,608
IMG-20181102-WA0021.jpg
 
Wewe, uko sawa... Ushoga hapa Bongo haukuathiri: watoto wako wako UK, wanasoma kings and queens academy, wanapata the best education... Wakimaliza, wanabaki huko2, watakuja hapa wakiwa 40 years kugombea urais. Unashida gani mama!?

Hii Vita n yetu wanyonge... Mnataka kututawala milele, watoto wetu wawe mateja, wakwenu wapete! Bravo mama!
 
Pamoja na kukosea kwake huyo binti lakini anahukumiwa Sana na mahakama za "watakatifu" wa mitaani hata kabla hajahukumiwa na mahakama za nchi yetu.


Ni kweli anastahili msaada wa kisheria na kiutu kama ambavyo muhalifu/mtuhumiwa yeyote hustahili.


Wanadamu kwa "unafiki" wetu wa asili tunamfanyia "bullying" na "psychological torture" huyu binti kana kwamba hiki alichofanya ni kigeni Sana huko "faraghani" mwetu.

Tupunguze kuhukumiana dhambi Haina category.
 
Back
Top Bottom