Fatma Karume: Nchi isiyoheshimu Haki za Msingi za Binadamu ni Nchi ya Kishenzi tu

Hii nchi ina fit sana kwenye hiyo narrative ya shangazi. Magufuli ameacha sifa mbaya sana kufuatia vitendo vyake vya kidhalimu dhidi ya wananchi wasio na hatia.

Anyway, acheni Mungu aitwe Mungu.
Magufuli si kafa?
 
Kuna wapumbavu watapinga huu ukweli

..kwa mfano, Magufuli aliwatoa kifungoni WALAWITI WATOTO.

..halafu akapiga nao picha IKULU.

..na baadhi ya ndugu zetu wa mataga wakawa wanashangilia.

..maamuzi kama hayo yanaichafua Tz na watu wake.

..kwa kifupi tunaonekana BARBARIC.
 
"Nchi isiyeheshimu HAKI za Msingi za Binadamu ni Nchi ya Kishenzi tu. Mnauwa watu, mnawapiga watu visu na risasi, mnateka wenzenu, mnawafunga wenzenu bila ya kufuata utaratibu halafu mnakereka mkiitwa Washenzi? Mlitaka muitwe nini? Waungwana? Jifunzeni UUNGWANA!"- Fatma Karume

(“USHENZI” kwa English ni “BARBARISM”. Kama hamtaki kuitwa “BARBARIANS” ishini na wenzeno kwa UUNGWANA. CCM walofika kutamka BUNGENI kuwa Zitto anafaa KUUWAWA? Ni USHENZI tu. Nani kawapa MAMLAKA ya kuamuwa MTZ yupi atolewe ROHO? “BARBARISM”- USHENZI ) - Fatma Karume

"Na tukisema Kheri James, Mwenyekiti wa UVCC ni BARBARIC, mtakataa? Kweli MUUNGWANA anasimama mbele za UMATI wa Watu na kutamba na kupanga vipi atamuuwa mwenzake? USHENZI tu! Na bado kapewa KAZI ya UMMA!"- Fatma Karume
ukweli mchungu
 
Kweli kabisa

Tena ni washenzi haswaa
 
This is totally wrong. CCM sio nchi, na viongozi wake sio nchi. Kusema Tanzania ni nchi ya kishenzi ni kuikosea heshima nchi ya watu milioni 60 ambamo ndani mwake kuna wastaarabu wengi tu.

Kuna jitihada kubwa sana ya kufanya matusi kuwa halali katika mijadala yetu ambayo inaweza kabisa kuendeshwa kistaarabu.

I'm deeply disappointed.
 
..ccm ni chama tawala.

..na viongozi wake ndio wanaoungwa mkono na Watz walio wengi.

..viongozi wa ccm wakifanya mambo ya kihuni na kikatili wanaichafua nchi yetu na kwa ujumla Watz tunaonekana watu wa hovyo.

..kama hatutaki kuchafuka kwa matendo ya ccm na viongozi wake basi tunapaswa kuwapinga waziwazi na dunia ijue kwamba tunawapinga.
 
"Nchi isiyeheshimu HAKI za Msingi za Binadamu ni Nchi ya Kishenzi tu. Mnauwa watu, mnawapiga watu visu na risasi, mnateka wenzenu, mnawafunga wenzenu bila ya kufuata utaratibu halafu mnakereka mkiitwa Washenzi? Mlitaka muitwe nini? Waungwana? Jifunzeni UUNGWANA!"- Fatma Karume

(“USHENZI” kwa English ni “BARBARISM”. Kama hamtaki kuitwa “BARBARIANS” ishini na wenzeno kwa UUNGWANA. CCM walofika kutamka BUNGENI kuwa Zitto anafaa KUUWAWA? Ni USHENZI tu. Nani kawapa MAMLAKA ya kuamuwa MTZ yupi atolewe ROHO? “BARBARISM”- USHENZI ) - Fatma Karume

"Na tukisema Kheri James, Mwenyekiti wa UVCC ni BARBARIC, mtakataa? Kweli MUUNGWANA anasimama mbele za UMATI wa Watu na kutamba na kupanga vipi atamuuwa mwenzake? USHENZI tu! Na bado kapewa KAZI ya UMMA!"- Fatma Karume
Kosa hapa ni kutaja NCHI badala ya utawala!! Ila ana hoja ya msingi kbs.
 
..bora hata wangepinga wana-chadema kwa kudai wao sio sehemu ya watawala.

..wanaompinga fatuma ni wana-ccm ambao serikali, dola, na mahakama hudai ni za kwao.

..kwa mfano, rais na mwenyekiti wa ccm aliwaachia watu waliopatikana na hatia ya kulawiti watoto, halafu akapiga picha nao akiwa ikulu.

..Je, kitendo hicho hakikuichafua nchi na kutufanya Watz tuonekana kuwa ni BARBARIC.?

..Siku zote si tunasema Raisi ni taswira ya nchi?
 
"Nchi isiyeheshimu HAKI za Msingi za Binadamu ni Nchi ya Kishenzi tu. Mnauwa watu, mnawapiga watu visu na risasi, mnateka wenzenu, mnawafunga wenzenu bila ya kufuata utaratibu halafu mnakereka mkiitwa Washenzi? Mlitaka muitwe nini? Waungwana? Jifunzeni UUNGWANA!"- Fatma Karume

(“USHENZI” kwa English ni “BARBARISM”. Kama hamtaki kuitwa “BARBARIANS” ishini na wenzeno kwa UUNGWANA. CCM walofika kutamka BUNGENI kuwa Zitto anafaa KUUWAWA? Ni USHENZI tu. Nani kawapa MAMLAKA ya kuamuwa MTZ yupi atolewe ROHO? “BARBARISM”- USHENZI ) - Fatma Karume

"Na tukisema Kheri James, Mwenyekiti wa UVCC ni BARBARIC, mtakataa? Kweli MUUNGWANA anasimama mbele za UMATI wa Watu na kutamba na kupanga vipi atamuuwa mwenzake? USHENZI tu! Na bado kapewa KAZI ya UMMA!"- Fatma Karume
Kaona hapati kiki tena kaona amjaribu mama
 
Back
Top Bottom